Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamuonea Jacq. Wakati anakutana na Mengi alikuwa ameshaachana na mke muda mrefu sana. Jacq hajasababisha hiyo ndoa kuvunjikakama abdieli umo humu chukua hii;
Hivi huyo malaya alosababisha mama yenu aachike kwa mumewe na bado anataka kuwaporeni mali ambazo mama yenu na baba yenu alizichuma, kwanini mnaendelea kumuacha hai?
Hivi ninyi ni wachaga gani wa kupelekeshwa mbele ya mali na chasaka wa kike?
Huyo malaya wa kike muondosheni duniani, hana tofauti na wezi wanaopigwa risasi na kuchomwa moto. Hilo ni dangaji jizi hilo, fala sana hilo.
Swali la kiboya Sana mali za mengi na mkewe wa kwanza walishagawana automatically mali za mengi mda ule akiwa na jackline hata wangekaa mwaka mmoja kikubwa watoto wamepata basi watoto wanastaili zile mali pia mke apewe kutunzia watoto make mkubwa hana chakeJackline alichuma nini na Mengi?
Mimi nimelishudia jambo kama hili tofauti ndogo tu, jamaa zangu Baba yao alikuwa Profesa Udsm, akafiwa na mke yani mama yao na washkaji.Chukulia kwa level ya familia tu!
Mfano mama yenu mzazi afariki halafu mali zote alizochuma na baba yenu mzazi iwe majumba na mabiashara mzee aamue kuzigawa kwa dogo dogo wake eti kisa tu anampaga K vizuri na amemzalia mdogo wenu 😂!
Hapo moto lazma uwake yani af ukiangalia huyo mama mdogo awe hana maelewano na nyie mazuri na kujifanya much know.
Hawajui hao washamba wanapiga kelele mzee kamfuata jack mwenyewe alimuapproach huko dubai jack alikuwa na ishu zake za kibiashara kampotezea mda mzikia kamuachisha then atoke patupu watajua kama hawajuiUnamuonea Jacq. Wakati anakutana na Mengi alikuwa ameshaachana na mke muda mrefu sana. Jacq hajasababisha hiyo ndoa kuvunjika
Hapo ndipo anapofeli huyo Malaya JackyMimi nimelishudia jambo kama hili tofauti ndogo tu, jamaa zangu Baba yao alikuwa Profesa Udsm, akafiwa na mke yani mama yao na washkaji.
Akakaa miaka akaoa dogodogo then maisha yakaendelea na akazaa naye, ikaja Professor akafariki lakini kwenye mirathi mama yao mdogo wamemfanyia fair play kapata mgao mzuri tu wa nyumba kadhaa na VX kaachiwa.
Hapa nilichojifunza mama mdogo aliishi na watoto wakubwa vizuri ndio maana mzee alipokufa wakamjari na wakampa mgao ambao hakuna manung'uniko yoyote mpaka kesho.
Sasa tofauti ya Jack yani anataka kuonesha yeye ndio Sterling wa picha la kivita winner takes all, kwamba utajiri wote wa Mengi aubebe yeye halafu watoto wakubwa wapewe bukubuku tu, yani kale kamalaya kalivyo na roho mbaya hadi cheni za dhahabu kanamindi kaandika arithishwe yeye.
Jamani Baba yake alikuwa Daktari Bugando Hospital na yeye alishawahi kuwa Miss Tanzania, kwa nini mnahoji Utanzania wake saa hizi?Huyo Jackiline Ntuyabaliwe hili ni jina la Kitanzania?
Sio jack ile ni defensive mechanism wachaga wabaguzi mno hawataki Mali iende upandewingine kingine jua hata huko uchagni jack anaona ushamba Mzee alikuwa na jumba ila hapendi kukaa huko Bata zake DubaiMimi nimelishudia jambo kama hili tofauti ndogo tu, jamaa zangu Baba yao alikuwa Profesa Udsm, akafiwa na mke yani mama yao na washkaji.
Akakaa miaka akaoa dogodogo then maisha yakaendelea na akazaa naye, ikaja Professor akafariki lakini kwenye mirathi mama yao mdogo wamemfanyia fair play kapata mgao mzuri tu wa nyumba kadhaa na VX kaachiwa.
Hapa nilichojifunza mama mdogo aliishi na watoto wakubwa vizuri ndio maana mzee alipokufa wakamjari na wakampa mgao ambao hakuna manung'uniko yoyote mpaka kesho.
Sasa tofauti ya Jack yani anataka kuonesha yeye ndio Sterling wa picha la kivita winner takes all, kwamba utajiri wote wa Mengi aubebe yeye halafu watoto wakubwa wapewe bukubuku tu, yani kale kamalaya kalivyo na roho mbaya hadi cheni za dhahabu kanamindi kaandika arithishwe yeye.
Mimi siyo mchaga, kwanza sijawahi kulewa mvinyo wa ukabila.Swali la kiboya Sana mali za mengi na mkewe wa kwanza walishagawana automatically mali za mengi mda ule akiwa na jackline hata wangekaa mwaka mmoja kikubwa watoto wamepata basi watoto wanastaili zile mali pia mke apewe kutunzia watoto make mkubwa hana chake
Punguza uchaga simamia ukweli ulipo unajua mzee kafanya mangapi akiwa na jack najua hujui hata mm sijui usilete mbwembwe🤣🤣
Kwani Dr Janabi si ndio mkurugenzi wa hospitali ya Jakaya Kikwete? Sasa hilo linaondowa ukweli kwamba ametoka South Sudan?Jamani Baba yake alikuwa Daktari Bugando Hospital na yeye alishawahi kuwa Miss Tanzania, kwa nini mnahoji Utanzania wake saa hizi?
Mkuu huyo alikuwa na mission yake ngoja tuone ila sidhani kama alikuwa na upendo na mzee kwa wakati ule ila hapa nataka wauwane tu basi hamna namna jack na hao wachagaMimi siyo mchaga, kwanza sijawahi kulewa mvinyo wa ukabila.
Hakuna mtu yeyote mwenye matatizo na watoto wadogo wa Mzee Mengi, bali tuna tatizo na huyo Kahaba ambaye wewe huoni tatizo lake.
Huyo Kahaba Mzee akiwa hai alishamfungulia biashara ya kwake binafsi ya furniture kutoka nje, anachokifanya sasa akipoteza hii kesi mahakamani anawaharibia future hata watoto wake mwenyewe.
Ukitaka kuujuwa vyema ushetani wa huyu Kahaba kwenye wosia aliyofoji hadi lile hekalu kule machame alikozikwa Mengi kaandika mrithi ni yeye, ni vitu haviingii akilini kabisa.
Una sifa zote za kuwa mfuasi wa yule dada wa Instagram mtoto wa kufikia wa Dr Mwele.Hawajui hao washamba wanapiga kelele mzee kamfuata jack mwenyewe alimuapproach huko dubai jack alikuwa na ishu zake za kibiashara kampotezea mda mzikia kamuachisha then atoke patupu watajua kama hawajui
Kumkubalia mtu asiye raia kuwa Miss Tanzania je?Kwani Dr Janabi si ndio mkurugenzi wa hospitali ya Jakaya Kikwete? Sasa hilo linaondowa ukweli kwamba ametoka South Sudan?
Hata account huko Instagram SinaUna sifa zote za kuwa mfuasi wa yule dada wa Instagram mtoto wa kufikia wa Dr Mwele.
Bila shaka umeshalipia ela ya kujiunga kwenye App yake, maana umecomment kishangingi mno.
Bahati nzuri nawaelewa wachaga kiasi fulani, wachaga ni watu wa mila sana, ukisema waingilie hili lazima wachinje mbuzi wa mila mle nyama.Wangeweza kukaa yaani Wachaga wote hawa hawana wazee jameni...kaeni yaishe kwa amani...
Hilo ni kawaida, tumeongozwa na Mrundi kama Rais kwa miaka 6.Kumkubalia mtu asiye raia kuwa Miss Tanzania je?
Hapo nani mwenye tamaa ya maliWachaga wana tamaa ya mali sana