Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

Hayo ni mapingamizi ya awali bado kusikilizwa maombi yake.
 
Anataka marejeo ya mwenendo wa case sio kupinga hukumu!!..Mwandishi kachanganya kwenye uandishi!!..
Alichoomba ni matunzo kwa wanawe kwa kiwango ambacho baba mzazi alikuwa akiwapa.

Anadai kwamba wasimamizi wamesitisha huduma kwa wanae.

Maamuzi ya awali hayajaathiriwa.

Hayo ni maombi madogo tu.
 
Hizo mali tangu mengi kafa zimekaa tu kumngoja mjane wa marehemu ashinde kesi mahakamani?
Tayari case ilisha Isha huyu alikua anataka marejeo ya mwenendo wa case!!...Sio kukata rufaa na wakati wa hukumu ilionyesha alifoji sahihi na ule waraka ulikua batili kwasababu Mwanasheria wa Mengi na familia hakushirikishwa!!...
 
Hawa watoto wake wengine sio watoto?
Ni wazee wenye wajukuu na Wana mali zao. Haki za msingi za mtoto toka kwa wazazi ni MALEZI na ELIMU hadi aweze kujitegemea. Sasa hao wazee wanataka mali madogo wasisome? Kama ni malezi, elimu, mitaji nk walishawezeshwa na babayao na sasa ni watu wazima tena wazee. Wanag'ang'ani nini cha zaidi? Waridhike na walichopewa na wasimame kusaidia kuendeleza legacy ya babayao nao watengeneze legacy zao
 
Hawa watoto wake wengine sio watoto?
Siyo watoto. Tafuta tafsiri ya mtoto kwa mujibu wa sheria ya mtoto , mtoto kuna umri wake baada ya kupita ule umri unakuwa taifa linalojitegemea , unatakiwa uwe na mali zako wewe mwenyewe ila sheria inamwangalia under 18 au over 18 aliye bando chini ya uangalizi wa mzazi kama mwanafunzi au asiyejiweza mfano kilema au mwenye utindio wa ubongo
 
wachaga sio wapuuzi kama huu upuuzi ulioandika hapa, ni hivi hakuna kabila yoyote nchi hii ya kushindana na mchaga,

sasa skia nikuambie, huyo mpuuzi danga linalochuna wazee, hana siku nyingi duniani mbele ya mali ya mchaga.

Tena asipokaaa kwa utulivu na vimapacha vyake vya mchongo vitapotezwa.

Dunia ya Mungu mali ya chaggas, upo hapo chali angu. Usilete papara na mali za kichaga utapotezwa.
Namuonea huruma sana jamaa yangu anaenda kuoa mchaga soon
 
Ni wazee wenye wajukuu na Wana mali zao. Haki za msingi za mtoto toka kwa wazazi ni MALEZI na ELIMU hadi aweze kujitegemea. Sasa hao wazee wanataka mali madogo wasisome? Kama ni malezi, elimu, mitaji nk walishawezeshwa na babayao na sasa ni watu wazima tena wazee. Wanag'ang'ani nini cha zaidi? Waridhike na walichopewa na wasimame kusaidia kuendeleza legacy ya babayao nao watengeneze legacy zao
Tatizo ni kwamba wosia unasema wasipewe chochote, bila kujali kwamba wao ndio walisaidiana na baba yao toka 1990’s kusimamisha zile biashara, ni kinyume na sharia kusema eti wakienda kupinga wosia wapewe buku1, huo si utaratibu. Mtoto kwa baba yake hakui, hao watoto wadogo wapeww haki yao ya elimu na mgao wao wa mali, ila sio kusema watoto wakubwa wasipate kitu, hiyo peke yake imetosha kubatilisha huo wosia.
Mali haziwezi kwenda Rwanda, tuache udangaji
 
Siyo watoto. Tafuta tafsiri ya mtoto kwa mujibu wa sheria ya mtoto , mtoto kuna umri wake baada ya kupita ule umri unakuwa taifa linalojitegemea , unatakiwa uwe na mali zako wewe mwenyewe ila sheria inamwangalia under 18 au over 18 aliye bando chini ya uangalizi wa mzazi kama mwanafunzi au asiyejiweza mfano kilema au mwenye utindio wa ubongo
Kwahiyo baba anamuitaje mtu aliyemzaa, si anamuita mtoto? Mtoto kwa baba yake hakui. Tunaposema mali zinagawiwa kwa watoto wa marehemu hatuongelei wale wa under 18 pekee, tunaongelea wote.

Au wewe kwakuwa umeshavuka 18 baba yako anaacha kuwa baba na wewe unaacha kuwa ‘mtoto’ wake?
 
Sahihi
 
Ndugu yake , utoto unaishia pale alipoanza kujitegemea , anakuwa nwanaukoo mwenzake
 
Hii kesi mwisho wake ni mbaya itaondoka na roho ya mtu.
 
Una sifa zote za kuwa mfuasi wa yule dada wa Instagram mtoto wa kufikia wa Dr Mwele.

Bila shaka umeshalipia ela ya kujiunga kwenye App yake, maana umecomment kishangingi mno.
App tena ndo nn
 
Binti tunaona kazikomalia hela za Mzee Mengi siyo !! bac sawa.
 
Back
Top Bottom