Mjane wa Mrema atoswa, familia yapinga wosia uliachwa na Mrema. Mjane apokonywa nyumba ya Salasala

Nilicoment kwenye uzi wa Sexless siku zilizopita..sijui mods waliufuta , but nanukuu tena;
“ kuolewa na mchaga/mpare ni dalili ya kutokua na bahati maishani”
fafanua zaidi watu wajifunze umelenga sehem gani!
 
Iko hivi, kati ya hao watoto nani alikuwa anashika kinyesi cha baba yao? Kwa ufupi huyo mama naamini mapenzi walianza siku nyingi sana tena nyingi mno.

Ni mtoto mjinga pekee ataanza kupinga. Na ukiona mpaka mzazi anafikia hiyo hatua ujue watoto kuna kitu hakipo sawa.
 
Hawa wazee wanaoa kwa sababu za kuhitaji upendo wa familia katika umri mkubwa wanaokuwa nao ukijumlisha na changamoto za kiafya wanazokuwa nazo.

Watoto wanakuwa wako bize na familia zao na majukumu yao. Na hawa wadada hawajawashikia bunduki wazee wetu wawaoe. Wazee wanawaoa kwa hiyari yao na kwa mapenzi yao. Mzee akifa ndio watoto wale wale waliomwacha mzee lonely wanakuwa bize kumwona muolewaji kama ana makosa kuolewa na mzee wao.

Mimi nadhani la busara hapa ni kukaa na kumaliza msiba na kuona yule mama wanaachanaje naye kuendana na muda alioishi na mzee wao. Maana kisheria mke ni mmojawapo wa warithi wa mume. Japo kwa kesi hii busara ikitumika anapewa kiasi anachostahili. Hawa wameanza vishindo mapema sana hata mzee wao hajapoa kaburini.
 
Nilicoment kwenye uzi wa Sexless siku zilizopita..sijui mods waliufuta , but nanukuu tena;
“ kuolewa na mchaga/mpare ni dalili ya kutokua na bahati maishani”
Yas hawa watu wako very seriously na maisha hawataki mchezo mchezo. Kama wewe ni mpenda ya hovyo na taarabu utaona ni bahati mbaya kweli maishani.
 
Sheeia ni kwa watu hohehahe na wasio na fedha wala watu wa kuwasemea. Tofauti na hapo sheria ni useless. Tajiri hata akiua kwa makusudi sheria itasema ameua bila kukusudia.
 
Hi ya kung'ang'ania vitu vya urithi hususan Kwa watoto wa Marehemu ni umasikini ama ni ulimbukeni? Baba yako katafuta Mali yake mwenyewe na sio karithi Kwa Baba yake. Wewe kwanini usitafate vyakwako?? Labda kama kaacha watoto wadogo wanaosoma au walikuwa bado tegemezi kwake.
 
Kuvamia majimbo ya wenyewe dakika ya 90 ndizo ndiyo huwa faida zake, maza we ondoka tu polepole ili ulinde heshima yako. Nani akupe nyumba? kwa kazi ipi hasa? yaani ule mtori wa siku mbili ndiyo tukuzawadie jumba la mamillion - aaaa hebu kuwa serious basi.
 
Mjane alisema hajafuata hela. Mumuache aiseee!😂😂😂😂
mjane unatuangusha.....hiyo ni njaa kali ya utosi. Unataka nyumba ulishiriki kuleta mawe ya kujengea msingi? au msingi ni ule mtori uliokuwa unampa marehemu?

Funga tumbo acha njaa ujenge heshima kwa jamii. acha hizo zilipedwa !!
 
Huyu mama alikuwa analia huku kavaa miwani. Mabinti acheni mteremko wachaga awapigwi kizembe zembe mtakufa bure
Teh teh, mbona kama kwa mzee many
Many washanza loose battle

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…