Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

Umemkosea heshima huyo bwana kimwita Mjapan.

Siyo kila aloyebimba macho ni mjapani. Hiyo uloyekutana naye ni Mtanzania. Na huenda anatpkea Tandale. Ni wale wanaozaliwa kutoka kwa dada poa baada ya kukutana na wageni pale wawapo kwenye harakati zao.
Hahahaaa....... Jasiri haachi asili bwashee!
 
Huwezi tenganisha kazi na siasa.Siasa inaanza kwanza,kwa kuwahidi utafanya then kazi inafanyika kutimiza ulichokihaidi
 
Anaongea kwa sababu hajanyang'anywa passport yake, na Fedha zake bank kuchukuliwa kwa nguvu!
Ukisifu kikombe kinakupita kushoto.Kosa la Manji upepo ulipobadilika angeanza kusifu na kuabudu kama Rostam yasingemkuta
 
Usitufanye mapoyoyo hayo Ni mawazo usijifiche kwenye mgongo wa mjapani. Jpm anaharibu nchi. Ajira hamna Ila Kuna midege
 
Ok.
Ebu tupe kidogo stori, ile barabara mi siielewe, naona mara zege mara mahandaki pale CoICT, ni barabara ya aina gani? Ya mwendokasi au?
 
Naona praise & worship team mmemsajili hadi mjapan
 
Atakua mjapani wa burigi huyo
 
Wale wavivu wa kufikiri watakwambia umesahau kuweka namba yako ya simu.

JPM anaongea leo na anatenda leo leo. Yule mzee wakujimwambafy aliwaweka kiporo wapigaji, mpaka anaondoka ikulu hakuwagusa.
 
Pamoja na kuandika ukijiamini kuwa unaufahamu mkubwa,kinyume chake ni kuwa unaulewa mdogo Sana kwenye jambo uliloliadili hapa!inawezekana umesoma lakini labda una digrii za tabia za mijusi na vyura..au pengine una digrii za tabia za vyuma na kutu!
 
Mliongea kijapani au kwa kiswahili?
 
Hukumuuliza mjapani kuwa kwao hawfanyi siasa?, na kama kuna vyama vya upinzani.
 
Hukumuuliza mjapani kuwa kwao hawfanyi siasa?, na kama kuna vyama vya upinzani.
Nilimuuliza mkuu....... Akanijibu kuwa kwao wana mfumo wa vyama vingi vya siasa lakini ni vyama viwili tu ndio vyenye nguvu.

Wana baraza la wawakilishi wa wananchi na baraza la ushauri

Ila kila mjapan anaamini katika kazi na siyo chama cha siasa!
 
Pamoja na kuandika ukijiamini kuwa unaufahamu mkubwa,kinyume chake ni kuwa unaulewa mdogo Sana kwenye jambo uliloliadili hapa!inawezekana umesoma lakini labda una digrii za tabia za mijusi na vyura..au pengine una digrii za tabia za vyuma na kutu!
Kipi nilichoandika hapo ambacho sio sahihi,tell me.Usiishie kutukana tu,be objective.Kwa ujinga wenu mmelishwa matango mwitu halafu bila kujua mmeyakubali,poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…