Mjapani huyo Engineer asingekuwa sahihi zaidi.Siasa kweli ni porojo za kijinga zilizoingizwa kwa siri as a system of divide and rule.Nia ya system hii ni kuleta strife and sometimes even war when desired by the "World Establisment." Nia pia ni kututoa kwenye maswala ya msingi,and in this case I mean mainly development.Sisi kwa ujinga wetu tume-adopt the system as something real.Very stupid indeed.Ni wakati muafaka sasa wa kuachana na porojo za siasa na kurudi kwenye msingi,ambao ni kazi.Slogan ya "Hapa Kazi Tuu," wouldn't have been more appropriate.