Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

Kipi nilichoandika hapo ambacho sio sahihi,tell me.Usiishie kutukana tu,be objective.Kwa ujinga wenu mmelishwa matango mwitu halafu bila kujua mmeyakubali,poleni sana.
Mkuu kukuambia kuwa yaelekea huna uelewa kwenye mada husika ,na pengine wewe ni msomi kwenye natural science na umebobea kwenye tabia za wadudu nk ni tusi!??
 
Sasa mlitaka Mjapani aseme ukweli ili kesho aione Tokyo. Magufuli alistahili kuishi Chato kule akiwaambia nitawachapa wanasema ndiyo baba.
Hata hivyo ataiona Japan sasa kama ni Mjapani kweli. Wajapan wanaagizwa kutojihusisha na maswala ya siasa wakiwa nje ya Japan. Strictly recommended kujitenga na siasa za nchi husika otherwise kibarua kitaisha ukirudi Japan hukumu inakusubiri.

Huyo atakuwa si Mjapan maana wanajua consequences zake
 
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.

Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.

Mjapani ameniuliza kama hawa wanasiasa wa Chadema na CCM ni wafanyaji kazi kweli au wanaishi kwa kutumia mdomo ( kuongea) tu?.....nikamjibu wapo baadhi wana kazi zao hata Kiongozi mkuu wa upinzani ni mfanyabiashara mkubwa tu hapa nchini.

Mwisho mjapan ameniambia maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yataifanya Tanzania iwe ni nchi ya kupigia mfano, muungeni mkono.

Huyu mjapan tumekuta pale jirani na Maryland nikamdadisi mawili matatu kuhusu ujenzi unaoendelea wa barabara.

Maendeleo hayana vyama
Kwa bahati mbaya ili uwe raisi lazima uwe mwanasiasa mzuri, lakini mheshimiwa raisi si mwanasiasa mzuri na yeye amekiri hilo, hakuna mtu anayepinga kwa maendeleo ya vitu yanayoletwa na mheshimiwa raisi Magufuli, ila nidhamu yake ya utawala ndiyo ina ukakasi, watu wanataka maendeleo watu pia.
 
Mkuu kukuambia kuwa yaelekea huna uelewa kwenye mada husika ,na pengine wewe ni msomi kwenye natural science na umebobea kwenye tabia za wadudu nk ni tusi!??
No,soma tena lugha aliyotumia sio ya kistaarabu.And then nadhani yeye ndiye asiye na ufahamu wa mambo niliyoandika,kwa kuwa ni jambo lililowazi kwamba watu wengi hasa watanzania wanajua tu kiasi fulani mambo waliyosomea,na hata hapo elimu nyingi wameiacha vyuoni.Ukimtoa kidogo nje ya hapo ni sifuri, sababu kubwa ikiwa kwa kuwa Watanzania tulio wengi hatupendi kujisomea.Hii inatufanya tuwe mambumbumbu katika mambo mengi sana.Hivi nikikuambia simu inaweza kutumiwa kama bomu unaweza kuamini kweli wewe,au kama minara ya simu inaweza kuiteketeza Dar es Salaam yote kwa moto unaweza kuamini kweli wewe?Haya sasa mambo hayo.
 
Jamaa alikuwa anapotosha maana ya siasa...ndio maana nikasema ,labda amesomea tabia za wadudu na wanyama,SI unajua mtu anaweza kupata PhD ya tabia za kenge,nyani,tumbili,au mijusi!
 
Halafu wanakuja watu wanamtukana Magufuli haki hatutakubali

Tutapambana nao
Hatutakubali wewe na Nani wengine? Hii lugha ya musiba ya kujifanya kuwa mna wafuasi nyuma yenu na ambao mnaweza kuwahamasisha kufanya unavyotaka italipelipeleka taifa hili kaburini! Zungumza na nafsi yako na sio za wengine wasiokutuma ujinga wenu!
 
Sema uchumi wako ndio umesinyaa kwa sababu ya uvivu!
Wewe wa kwako umetanuka Kama puto ati eeh! Huku ukiwagongea wajep angalau wakuajiri kwenye kampuni yao! Kweli ukiwa mwanaccm huna tofauti na mgombea chakula msibani kwani Hana aibu!
 
Hapa Kazi Tu
 
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.

Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.

Mjapani ameniuliza kama hawa wanasiasa wa Chadema na CCM ni wafanyaji kazi kweli au wanaishi kwa kutumia mdomo ( kuongea) tu?.....nikamjibu wapo baadhi wana kazi zao hata Kiongozi mkuu wa upinzani ni mfanyabiashara mkubwa tu hapa nchini.

Mwisho mjapan ameniambia maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yataifanya Tanzania iwe ni nchi ya kupigia mfano, muungeni mkono.

Huyu mjapan tumekuta pale jirani na Maryland nikamdadisi mawili matatu kuhusu ujenzi unaoendelea wa barabara.

Maendeleo hayana vyama
Ngoja uikoge mitusi ndugu ila mie namkubali sana magu.
 
Ila pia ungemdodosa kama pia wajapan huwa wanaua wapinzani na kuwavunjia nyumba zao walizojenga kwa gharama zao kisa wamevunja sheria, hapo ndo chuki naye ilipoanzia.
Ndugu! hayounayohoji ndiyo mjapani haamini kabisa; hizo ndiyo porojo kwake. Fanya kazi.
 
Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan.

Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema.

Mjapani ameniuliza kama hawa wanasiasa wa Chadema na CCM ni wafanyaji kazi kweli au wanaishi kwa kutumia mdomo ( kuongea) tu?.....nikamjibu wapo baadhi wana kazi zao hata Kiongozi mkuu wa upinzani ni mfanyabiashara mkubwa tu hapa nchini.

Mwisho mjapan ameniambia maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yataifanya Tanzania iwe ni nchi ya kupigia mfano, muungeni mkono.

Huyu mjapan tumekuta pale jirani na Maryland nikamdadisi mawili matatu kuhusu ujenzi unaoendelea wa barabara.

Maendeleo hayana vyama
Huyo mjapan koko mlikua mnaongea naye kisukuma au kijapan?
 
Haya...
73497812_2413783348887859_433319344982720512_o.jpg
 
Back
Top Bottom