Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

Nyie dunia ina mengi ... Ila honestly nikushauri tu.... Jihadhari mapenzi huisha .. Sasa utapo achwa ndo utaelewa...

Game ni over 5+ na huna kazi upo upo tu mwisho wako wakaribia...

Tumia mda huo mnaopendana vizur Kama kula kulaa mbususu vizur iyo mara 6 kwa siku. Ili Kiama chako kikifika huna cha kujutia.

Lastly ... Usipende wakati huna pesa ... Tamani tu inatosha[emoji817]
 
Sawa Mkuu Hii Mbususu naipangia Utaratibu niichakate Haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…