Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu.

Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo.

Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado Hajakupa Mzigo (Tunda). ??

Pisi Ni Kali Hatari Mpka Naona Aibu, Mtu Akishika Simu Yangu anaona kama Naringishia...., Maana lazima Waulize hii Pisi Ya Wapi.

Embu Nishauri Nitoe Au Nikomae na Hisia Zangu. Nampenda huyu Binti.
Mbona siioni mkuu!?
 
Hiyo pisi yako ni bikra kama sio nakushauri weka picha ya mama yako au baba yako huyo pisi atajioweka mwenyewe kwenye simu yake.
Vijana punguzeni ulofa.!!
Dah Haya Mkuuu, Kwa Kumuangalia Tu Sio Bikra Hata.
 
Kila la kheri, akikupa unaweka kiungo chake za uzazi kabisa kama home screen...
 
Back
Top Bottom