Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

bora anaweza hata kukodi, nyie endeleeni kuishi stooo (kitanda, kabati, makochi, ndoo za maji, viti, jiko, unga nk viko pamoja chumba kimoja hiyo ni stoo) lkn hamkomi kufuatilia mambo ya watu na kutoa negativity
 
Toka kiwanja hakijaanza jengwa
Kimejengwa hata wiki iliyopita walikua wanamwaga maji toka swimming kupitia mfereji wa Waziri wa Ar

Ndo maana panakua busy sana siku hizi
Ila nyumba iko vizuri
 
Ubishi uishe
IMG_0094.JPG
 
Back
Top Bottom