Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu warumi sio ke ni meWomen are the hardest creatures to understand.
Mimi ni team diamond na hata nyimbo Yangu nimemsifia sana huyu mshikajiUtakuwa ile timu pinzani wewe
kijana tafuta hela nawe usifiwe
Maada umeielewa kweli au umecoment tuHela zako zake?
Tunapangiana matumiz???
Wanaume wa dar mpungize
Amna noma bro tuko pamojaAcha umbea mdogo wetu
Siku Marehemu Agnes (R.I.P.) anaisha Oliver Tambo Mchizi ndiyo alikuwa Sterling wa kila kitu baada ya kuona Picha ishaungua jamaa akapotea haraka sana.Silijui hili jina. Ila mjini hamna siri
Bado asubuhi sana kusema hivyo mkuuAisee Diamond Platinumz Yuko Vizur !! Sina ushabiki wa Kindezi ila Ile Familia inajua kutafuta Hela asikuambie Mtu ! Siku Zote hela Hufuata Hela
Mimi ni team diamond na hata nyimbo Yangu nimemsifia sana huyu mshikaji
mleta uzi ni NgoshaHela zako zake?
Tunapangiana matumiz???
Wanaume wa dar mpungize
Kuna mtu atakuja bado kuuliza kama ilikua inauzwa au inakodishwa!! We subiriUbishi uishe View attachment 885050