Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Mjengo mpya wa Diamond ni shidaaa!

Nishawahi kukuta tangazo la gari inauzwa, kuiangalia vizuri no/i gari yangu mwenyewe, na picha imepigwa nikiwa nimeipeleka car wash..(wabongo wanawajua wabongo)
Ni hivi..
Mmoja kapost anauza/kodisha, mwingine kapost "new home" sasa sijajua tatizo lipo wapi hapo!?
 
Na mimi kesho nitapost mjengo wangu kule insta, utauona tu kule Warumi.
 
Yule tena , anaanzaje kupitwa, Ila isije tu ikawa ya kupanga maana Yule kwa kupenda kiki
Mkuu ile nyumba kanunua kabisa maana dalali aliandika house for sale 2 billion
 
Ndiwoo sio yake kapanga. Kawajaza watu tu. Yale Yale ya Wema Sepetu na NYUMBA ya 400M. Diamond kapanga hiyo nyumba na ni mpya bado. Haina hata siku nyingi toka mwenye mjengo wake aizindue
hata nyumba ya south africa mlisema kapanga mpaka mkataka atoe hati
 
Nishawahi kukuta tangazo la gari inauzwa, kuiangalia vizuri no/i gari yangu mwenyewe, na picha imepigwa nikiwa nimeipeleka car wash..(wabongo wanawajua wabongo)
Ni hivi..
Mmoja kapost anauza/kodisha, mwingine kapost "new home" sasa sijajua tatizo lipo wapi hapo!?
Hongera kwa kumiliki gari, kama hujaoa nikupe dadayangu
 
Back
Top Bottom