Pagale kufikisha 70m hiyo inaegemea na soil bearing capacity ya udongo labda na local factors zingine, lakini pagale 50 finishing 50.Unamaanisha 3 bedroom juu na total cost ni 100m. Hii hesabu sio sawa maana pagale kwa wastani litafikisha 70m sasa finishing ya 30m hapo ni nini ?
Unamaanisha 3 bedroom juu na total cost ni 100m. Hii hesabu sio sawa maana pagale kwa wastani litafikisha 70m sasa finishing ya 30m hapo ni nini ?
Hilo Pagale unabana vipi hadi ufike 50 ?Pagale kufikisha 70m hiyo inaegemea na soil bearing capacity ya udongo labda na local factors zingine, lakini pagale 50 finishing 50.
Hiyo tambarare kichanga cha wastani.
8m x 8m
11 footings
11 columns
2 flights za stairs
Metal roofing.
Kwanza pagale 30-40m inaweza kutosha.
sorry,nime edit post yanguNa finishing kwa kujibana 120m inatosha.
Hizo juu ni 3 bedrooms, gharama kubwa itakupiga kwenye zege na kwenye hizo hatua huwezi tumia fundi wa mtaani ili upate kitu cha uhakika. Pagale unaweza pata kwa 60m-70m. Finishing ni subjective ila weka 70% ya gharama za Pagale, 49m, jumla 119m.View attachment 2187533
Mkuu ukiwa na two bedrooms na drawing room hiyo 100 haiwezi kutosha? Idea yangu nyingine ni kwamba chini niwe na plan kama hiyo lakini hizo bedrooms ziwe extension tu nifunike bati. Halafu sehemu inayobaki niweke slab itayobeba two rooms na drawing room
Kwanini upaue kwa 15m?Hilo Pagale unabana vipi hadi ufike 50 ?
Msingi 20m
Tofali ground floor- 5m
Zege la slab & stairs, lenta - 20m
Tofali 1st floor - 5m
Kupaua & bati- 15m
Umeme & plumbing provision- 1.5m
Hayo ndio makadirio ya chini kabisa, sasa ww toa hiyo estimation yako 50m kwa pagale.
Thumb rule estimation.Hayo ndio makadirio ya chini kabisa, sasa ww toa hiyo estimation yako 50m kwa pagale.
Wewe umeamua ufanye ligi, unaongea vitu kwa nadharia za juu na kupindisha, nenda na hiyo 8m ukajenga msingi wa ghorofa, kila la kheri.Thumb rule estimation.
Msingi (isolated footings)
Nitakuwa na trapezoidal footings 11, tatu kati ya hizo (za katikati) zitakuwa na depth ya 1.2m na mapana ya 1.4m X1.4m.
Footings nane zilizobaki 1.2m na mapana ya 1.2m x 1.2m.
Footings peke yake ni mifuko 80 ya cement na kokoto tani 8 na mchanga tani 4 kwa rough estimates including nondo ni 3 million.
Plinth Beam 6.25 cubic meters concrete. SAwa na cement mifuko 55 na kokoto tani 5. Nondo ni kama nusu tani. Gharama ni kama 3million.
Ground floor slab, Kokoto tani 20 na zege juu yake cubic meters 10. jumla milioni 2.
Total 8 million .
Columns zote zitachukua 4.5 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Beam ya suspended slab 4 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Slab itatumia concrete 13 cubic meters na nondo tani 1.2 jumla milioni 6.
Stairs 4.5 cubic meters of concrete na nusu tani ya nondo. Jumla milioni 3
Total 13 mil.
Roof beam 4 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Kuezeka 6m
Total 8million.
Brickwork
Tofali 7,000 na mifuko ya cement 100 jumla 10 million.
Ufundi 30% total 12m
Jumla 51m.
Wee elezea msingi wa 20m utakavyoujenga.Wewe umeamua ufanye ligi, unaongea vitu kwa nadharia za juu na kupindisha, nenda na hiyo 8m ukajenga msingi wa ghorofa, kila la kheri.
Nimekupata mkuu. nimeweka slab ya 38.5msqHizo juu ni 3 bedrooms, gharama kubwa itakupiga kwenye zege na kwenye hizo hatua huwezi tumia fundi wa mtaani ili upate kitu cha uhakika. Pagale unaweza pata kwa 60m-70m. Finishing ni subjective ila weka 70% ya gharama za Pagale, 49m, jumla 119m.
uzi umeanza kunogaThumb rule estimation.
Msingi (isolated footings)
Nitakuwa na trapezoidal footings 11, tatu kati ya hizo (za katikati) zitakuwa na depth ya 1.2m na mapana ya 1.4m X1.4m.
Footings nane zilizobaki 1.2m na mapana ya 1.2m x 1.2m.
Footings peke yake ni mifuko 80 ya cement na kokoto tani 8 na mchanga tani 4 kwa rough estimates including nondo ni 3 million.
Plinth Beam 6.25 cubic meters concrete. SAwa na cement mifuko 55 na kokoto tani 5. Nondo ni kama nusu tani. Gharama ni kama 3million.
Ground floor slab, Kokoto tani 20 na zege juu yake cubic meters 10. jumla milioni 2.
Total 8 million .
Columns zote zitachukua 4.5 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Beam ya suspended slab 4 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Slab itatumia concrete 13 cubic meters na nondo tani 1.2 jumla milioni 6.
Stairs 4.5 cubic meters of concrete na nusu tani ya nondo. Jumla milioni 3
Total 13 mil.
Roof beam 4 cubic meters za concrete na nusu tani ya nondo jumla milioni 2.
Kuezeka 6m
Total 8million.
Brickwork
Tofali 7,000 na mifuko ya cement 100 jumla 10 million.
Ufundi 30% total 12m
Jumla 51m.
kukiwa na floor tu tayar hzo ni hela nyinghuo sasa utani mkuu
800,000X38.5sm = 30,800,000 👍Mkuu average hadi finishing approximate weka TZS 700,000 hadi 800,000 per square meter.
floor ya 38.5 square meter itakula pesa ngapi?kukiwa na floor tu tayar hzo ni hela nying
Chukua hiyo figure zidisha kwa 500k.floor ya 38.5 square meter itakula pesa ngapi?
38.5X Sh.500,000 = 19,250,000Chukua hiyo figure zidisha kwa 500k.
Hiyo ni rough estimate ya jengo zima lenye hiyo area.38.5X Sh.500,000 = 19,250,000
Bajeti ya floor