Kwanza jibu la kupandisha hadhi mama alishalitoa kule chato, ataangalia vigezo, siyo kisa mwendazake aliropoka kwenye kampeni.Una uhakika gani kuwa wananchi ndio waliompa kura Kimei?..
Hakiki taarifa zako. Mji wa Himo uko "HALIMASHAURI" ya Moshi. Ni kweli ofisi za Halimashauri zipo mbali sana na mji mdogo wa Himo na pia zipo sehemu isiyo ya Kimkakati. [ilipokuwa sekondari ya Kolila].Kupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa)...
Sasa yeye alishauri zihamishiwe Himo na kuifanya halmashauri ili baadhi ya huduma ziwe karibu na pia ni mji unaokuwa kwa kasi,kabla haujaanza kuvurugika uanze kupangwa sasaHalimashauri zipo mbali sana na mji mdogo wa Himo na pia zipo sehemu isiyo ya Kimkakati
Mkuu hamna wilaya mbili ipo wilaya ya Moshi tu ila ipo halmashauri ya Moshi vijijini na halmashauri ya manispaa ya Moshi mjini.Hakiki taarifa zako. Mji wa Himo uko "HALIMASHAURI" ya Moshi. Ni kweli ofisi za Halimashauri zipo mbali sana na mji mdogo wa Himo na pia zipo sehemu isiyo ya Kimkakati. [ilipokuwa sekondari ya Kolila].
Sijajua ni huduma zipi unazozungumzia kuwa wanalazimika kuzipata "MANISPAA". Hakuna uhusiano wowote wa mji wa Himo na Manispaa ya Moshi. Ni maeneo ya wilaya mbili tofauti kabisa.
Hebu nitajie wilaya zinazopatikana mkoa wa Kilimanjaro. MANISPAA ya Moshi ni wilaya inayojitegemea na HALMASHAURI ya Moshi ni wilaya ingine kabisa. Niko HimoMkuu hamna wilaya mbili ipo wilaya ya Moshi tu ila ipo halmashauri ya Moshi vijijini na halmashauri ya manispaa ya Moshi mjini.
Kila Rais na zama zake mkuu.Na inawezakana hata yeye asingeipa Himo hadhi ya Halimashauri,mbona ni kamji kadogo!Kupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa).
Hayati Magufuli katika kampeni zake alipita eneo hilo na kuahidi kutekeleza wazo hilo kama wananchi watampa Kimei kura.
Nakumbushia tu mama Rais Samia anasema atafamya yale yale ya mtangulizi wake je ataupa hadhi mji huo?
Nitajie mkuu wilaya Moshi vijijini mkuu. Wilaya za kili ni siha, rombo, hai, mwanga, same, Na moshiHebu nitajie wilaya zinazopatikana mkoa wa Kilimanjaro. MANISPAA ya Moshi ni wilaya inayojitegemea na HALMASHAURI ya Moshi ni wilaya ingine kabisa. Niko Himo
Sasa ni zamu ya kuendelea visiwani sio baraKupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa).
Hayati Magufuli katika kampeni zake alipita eneo hilo na kuahidi kutekeleza wazo hilo kama wananchi watampa Kimei kura.
Nakumbushia tu mama Rais Samia anasema atafamya yale yale ya mtangulizi wake je ataupa hadhi mji huo?
Moshi Manispaa, Moshi DC (vijijini), Hai, Siha, Rombo, Mwanga na Same. Kilimanjaro kuna wilaya 7. Moshi vijijini ni wilaya yenye majimbo ya uchaguzi ya Moshi Vijijini na Vunjo ilihali Moshi mjini ni jimbo linalojitegemea. Ofisi za wilaya ya Moshi vijijini zilikuwa KDC na sasa zimehamia ilipokuwa Shule ya Kolila. Ofizi za manispaa zipo jirani na jengo la KCC (Kilimanjaro Commercial Complex)Nitajie mkuu wilaya Moshi vijijini mkuu. Wilaya za kili ni siha, rombo, hai, mwanga, same, Na moshi