Mji mdogo wa Himo usipopewa hadhi ya Halmashauri chini ya Rais Samia wananchi watamkumbuka sana Hayati Magufuli

Hii mbinu yako,
Beberu wanaita emotional blackmail, guilt tripping, manipulation e.t.c

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Naomba kujua mkuu wa wilaya ya Moshi vijijini? Hiyo sio wilaya ni halmashauri tu nenda kwenye documents za nida hamna wilaya ya Moshi vijijini ila ipo halmashauri pale KDC zilikuwa ofisi za halmashauri. Naomba jina la mkuu wa wilaya ya Moshi vijijini.
 
Ni kweli hamna Wilaya ya Moshi vijijini kwenye nyaraka rasmi. Inaitwa tu Halimashauri ya Wilaya ya Moshi na ingine inaitwa Halimashauri ya Manispaa ya Moshi. Kama sikosei mkuu wa Halimashauri ni Kipi Warioba na Mkuu wa Wilaya wa Manispaa ya Moshi ni Rajab Kundya.
 
Kwa sasa huduma zinatolewa manispaa sasa hivi hakuna moshi vijijini tena. Ndio maana Kimei alitaka Himo iwe halmashauri ihudumie Vinjo marangu,Kahe na maeneo ya karibu kuliko kwenda Moshi MC ambako kutakuwa mbali
 
Reactions: Tui
Kimei ana ushawishi gani, umewahi kusikia hoja yake yoyote bungeni?
 
Kwa sasa huduma zinatolewa manispaa sasa hivi hakuna moshi vijijini tena. Ndio maana Kimei alitaka Himo iwe halmashauri ihudumie Vinjo marangu,Kahe na maeneo ya karibu kuliko kwenda Moshi MC ambako kutakuwa mbali
Sawa
 
Unamaanisha makao makuu yahame kule Kolila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…