Kwahio nyie team lgbtq + munateseka???Subira wale Mbwa Pro Iran na Anti America ...
Kwahiyo? Kwani imeanza jana kulipuliwa? Is it news? Objective ilikua kung'oa utawala kama milipuko hata Iran inalipua kila siku ndege, viwanda, radar, na miji kibao tu middle east.vyanzo vyangu kutoka Irani vinaniambia kuwa Irani imelipuliwa
Wametumia Internet kupitia mkund×wa mamayo..Kwahio nyie team lgbtq + munateseka???
Hizo video mmezipata wapi na iran mtandao hakuna?
Pole kwa stressWametumia Internet kupitia mkund×wa mamayo..
Israhell nayo itakuajeIran itaenda kugeuzwa gofu iwe kama Somalia, baadae waje kuanza kujenga nchi upya, hizi vita za siku hizi namna zinqvyoanza na muendelezo wake mtu mpaka unashangaa.
Nikitazama kule Urusi v Ukraine, vita iliyoanza kama utani leo ina mwaka wa tatu, na bado inaendelea tu hata mwisho wake hauonekani karibuni.
Hii ni dalili baadhi ya mataifa ulimwenguni yameshachoka mazungumzo kama njia za kumaliza misunderstanding, now wameamua kila mmoja aoneshe nguvu zake kijeshi.
Ukishatukana unapata faida gani???@Reviser
@Boqin
@Zenora
@Cookie
Vipi habari iliyokua verified na BBC nyi Mnaweka tetesi? Au mpaka mtukaniwe mama Zenu?
Mji wa Iran 'washambuliwa vibaya', huku video ikionyesha milipuko mikubwa kwenye kituo cha makombora - BBC News Swahili
Picha kutoka mji wa Isfahan nchini Iran, iliyothibitishwa na BBC, inaonyesha milipuko mikubwa kwenye kambi hiyo - inaonekana baada ya shambulizi la anga ama la Marekani au Israel.www.bbc.com