Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Yaani bado eti .dah..wameshikwa pabaya nadhani...Hivi shamimu mwasha mama wa vibubu ashatoka segedanse?🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani bado eti .dah..wameshikwa pabaya nadhani...Hivi shamimu mwasha mama wa vibubu ashatoka segedanse?🤣🤣🤣
@cocastic mfundishe huyu jinsi ya kuandika ubuyu.Nilikua natafuta hii comment.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijar ntamfundishaa,@cocastic mfundishe huyu jinsi ya kuandika ubuyu.
🤣🤣 Basi na dairecta aanze kupiga jaramba time will tellYaani bado eti .dah..wameshikwa pabaya nadhani...
Unaambiwa mleta mada naye anakigawa kama kawa
Ni kwel huyo Joan kazaliwa kinondon shamba,biashara ya madawa ni ya kitambo tokea ana bar yake pale TX kinondon mitaa ile ilipokua bar ya G8 ya mama siriwa,pale wauza sembe na matapel lazima uwakute pale, na director mdogo wake alikua anamtuma brazil,pakistan kubeba sembe..mume wake anaitwa magono mtoto wa ilala kota alikua UK miaka mingi akakimbia huko mana nae alikua mpigaji sana haswa wizi wa magar ya kifahari na kuchanja ATM kwakutumia kadi za wizi,kifup dada ana pesa...pale kwa mtogole nyuma kwenye sheli mpya ulitokea mwananyamala ana duka kubwa na sana la nguoHakuna code hapo. Jamaa kakopi kutoka kwa Mange.Mange alikuwa anamzungumzia huyo anayejulikana kama Director Jo. Ni mtu anayejulikana sana hasa kwa wale wafuatiliaji wa hawa wauza sura wa kwenye mitandao.
BTW biashara ya madawa ya kulevya imerudi kwa kasi mno na hawa wauza sura wengi wanapigana kufa na kupona kwenye hii biashara ili wapate fedha za kununua mgari na nyuma za kuonyesha kwenye insta.
Ingekua kwa magu sawa..sio kwasasa🤣🤣 Basi na dairecta aanze kupiga jaramba time will tell
Na mleta uzi ni mwanaume! Nchi ina watu wa hovyo sana hii!Watu wa dar hao.
Tuache wivu maisha ni nyota, maarifa na bidiiSasa ni hivi, mnakumbuka kipindi Bashite amewaita wauza unga, kwenye watu maarufu alimuita Director. Sasa ni hivi Director hakusingiziwa na Bashite kama wengi tulivyodhani kipindi kile. Director ni kweli anauza unga. Tena mnaambiwa ni bonge la bosi la unga.
Partner wake mkubwa ni yule Omaryn wa Dubay. Ndo business partner wake wa biashara ya madawa. Mnaambiwa Director ni mmoja kati ya wanawake matajiri waliopitiliza hapa Tanzania. Ni vile tu anajitahidi kuficha utajiri aliokuwa nao.
Yani ni hivi toka atajwe na Bashite kipindi kile Director aliachana kabisa na maisha ya mitandaoni sababu yanamletea attention na ndo moja ya sababu Bashite aliruka nae kipindi kile.
Mnaambiwa Director ugomvi wake mkubwa na watoto wake wale Saraha na seNene ni kuposti good life mitandaoni ila watoto hawasikii wanataka kujionyesha wanazo huku mama yao anawaambia watamletea matatizo.
Sasa ni hivi hii biashara ya cosmetics ndo cover ya Director na ndo biashara anayotumia kutakatisha pesa zake za madawa ya kulevya. Mnaambiwa Director ana pesa balaaa.
Mnaambiwa Director hakosi bilioni 5-10 at any given time. 3 months ago Director kanunua Land Cruiser ya 400 million zero kilometers, akamnunulia na Saraha Range Rover Velarc. Mpaka hapo unaongelea almost 1B in just 3 months ago. Hiyo Land Cruiser anaificha tu haposti ila anayo.
2 years ago Director alinunua zile Mercedes benz za Double cabin for 200 million, akamnunulia Saraha Evoque na seNene akamnunulia Mercedes ya juu, mpaka hapo unaongelea another 500M+. Just 2 years ago.
3 months ago kanunua nyumba kariakoo 1B cash mkononi. Mnaambiwa Director ana properties mpaka basi. Yani inawezekana Director yuko kwenye top 10 ya wanawake matajiri hapo Tanzania ni vile inabidi ajifiche ili asijileteee attention ya serikali. Yani hakuna cha biashara ya cosmetics wala nini. Unga tupuuuuu.
Mnaona matangazo ya maZa anayoposti ya Wix, Director anamlipa maZa 5M every month kwa yale matangazo. Haki vile. Anampa maZa 5M kila mwezi navyowaambia hapa. Yani kwa kifupi Director ndo anaemuweka maZa mjini. Ila nahisi there's something more behind inayofanya Director anamlipa maZa hiyo 5M kila mwezi. There's something here.
Maana ingekuwa ni issue ya kumtangazia tu ni mara 100 angempa Wema ambae ndo alikuza jina na biashara ya Director so hapo kwa maZa kuna jambo kulipana hiyo 5M every month.
Sasa huyo mtoto wake Saraha mnaambiwa anamuhonga huyo baby daddy wake ambae ni mume wa mtu mpaka basi. Nilishawapaga story ya baby daddy wa Saraha. Yani anampaga 20 au 10 au 30 million kama mchezo tu. Anasafiri nae business class. Huyo mtoto alienda Seychelles kakaa "4 Seasons Hotel" more than a week. Hiyo hotel ni more than $1,000 per night. Mtoto anapanda business class kila siku. Yani wana hela mpaka hawawezi kuzihesabuuuzz.
Kweli hapa mjini njoo na akili tu, pesa utazikuta hukuhuku✅
Yeye ndio anatuambia!Thd imejaa neno "Mnaambiwa..mnaambiwa.."
Je tunaambiwa na nani? Huyo Director ndio nani huko Daslam?
Ni vituko mtandaoni!Umeandika kama vile wote tunajua. Director jo ni nan? Celeb au public figure au nani haswa?
Comment bora katika uzi huuMungu baba tusaidie sisi maskini tulioamua kupita njia ya halali[emoji24][emoji24][emoji24][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua yeye ndio anatuambia angesema "Nawaambia'' ila katumia neno ''Mnaambiwa'' ina maana tunaambiwa na mtu mwingine na sio yeye.Yeye ndio anatuambia!
Kama Bashite angegusa yeyote kati ya wauza unga, basi sasa hivi Bashite angekua tayari anapakwa lipstick na angekua anauza duka la nguo za kike.Sasa ni hivi, mnakumbuka kipindi Bashite amewaita wauza unga, kwenye watu maarufu alimuita Director. Sasa ni hivi Director hakusingiziwa na Bashite kama wengi tulivyodhani kipindi kile. Director ni kweli anauza unga. Tena mnaambiwa ni bonge la bosi la unga.