Mji Mzito Huu, DirectorJo Behind the Scene ni "Lord"

Ni kwel huyo Joan kazaliwa kinondon shamba,biashara ya madawa ni ya kitambo tokea ana bar yake pale TX kinondon mitaa ile ilipokua bar ya G8 ya mama siriwa,pale wauza sembe na matapel lazima uwakute pale, na director mdogo wake alikua anamtuma brazil,pakistan kubeba sembe..mume wake anaitwa magono mtoto wa ilala kota alikua UK miaka mingi akakimbia huko mana nae alikua mpigaji sana haswa wizi wa magar ya kifahari na kuchanja ATM kwakutumia kadi za wizi,kifup dada ana pesa...pale kwa mtogole nyuma kwenye sheli mpya ulitokea mwananyamala ana duka kubwa na sana la nguo
 
Tuache wivu maisha ni nyota, maarifa na bidii
 
Kama Bashite angegusa yeyote kati ya wauza unga, basi sasa hivi Bashite angekua tayari anapakwa lipstick na angekua anauza duka la nguo za kike.
Watu wenyewe alio wakamata ndiyo hao akina Gwajima ambao wakaishia kuzawadiwa ubunge?
Muwe serious kidogo basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…