Mji Mzito Huu, DirectorJo Behind the Scene ni "Lord"

Director ana mtoto na ney wa mitego kuna siku aliweka waraka akimlalamikia kwamba hatoi matunzo ya mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
sio director J aisee na director hana huo muda mchafu wa kufanya hivyo, huyo alieandika hivyo ni mdada mmoja hivi wa bongo movie ya zamani anaitwa skyner nae ni mweupe mnene
 
Mi tangu habari ya Shamim sibabaiki tena na post za Instagram [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shamim alijua kuturusha roho na mirange, harusi mlimani city no michango, anavaa designer, gold🤣🤣🤣, hapo kibubu anaweka milioni Kwa siku🤣

Unaweza kumnyima mumeo unyumba hivi hivi ukamuona hajitumi kukupa good life🤣
 
Mpuuzi aliitumia hela yule..bado najiuliza kwenye kibubu alikuwa anaweka ya nini sasa au ndo kutumotiveti[emoji1787][emoji1787]

Maana ni sawa tu na kusema anahamisha kutoka kabatini anatia kwenye kibubu
 
Huyo mumewe magono sio alifariki,manake siku hiz hampost ,alafu wote yy na mumewe si walikuwa watumia doz, ...
 
Kwa ambao hawamjui director Joan,kwenye wimbo wa ferooz wa starehe ni yule dada waliekutana nae kwa macheni,jeupe hiv zur,half cast ,mamaake alikua mzungi,ila babaake muhaya,na mtoto wake mdogo wa kiume ,kazaa na yule kijana aliegiza mraibu wa beer, kwny dear gambe ya young killa na belle nine
 
Director ana mtoto na ney wa mitego kuna siku aliweka waraka akimlalamikia kwamba hatoi matunzo ya mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo we labda unamsema syknerhuniz yule shombe wa kihind bonge white wa bongo movie ndo aliezaa na nay,director amezaa na yule aliegiza kwny dear gambe ,kazaa nae mtoto wa kiume,na director ni Yule wa kwny wimbi wa ferooz starehe demu waliekutana naye kwa machen,nae ni shombe bonge white
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…