Mji Mzito Huu, DirectorJo Behind the Scene ni "Lord"

Sana kipindi cha shilawadu kiliwaingizia clouds hela ya kutosha,sasa kijiti amekipokea mange, mimi pamoja na kupenda umbea siwezi kulipa pesa ili nipate umbea 😅
Na kawashika kweli,hata mimi aisee siwezi kulipa ili nisome umbea kuhusu life la watu.Asipopost instagram basi .Ila umbea unalipa,na asingekuwa kafungiwa Tanzania, Mange angekuwa billionea.Watanzania wanatumia VPN kumsoma Mange App.
 
Na kawashika kweli,hata mimi aisee siwezi kulipa ili nisome umbea kuhusu life la watu.Asipopost instagram basi .Ila umbea unalipa,na asingekuwa kafungiwa Tanzania, Mange angekuwa billionea.Watanzania wanatumia VPN kumsoma Mange App.
yeah ata marekani umbea umewatoa wengi,imagine ata serikali ya marekani sasa hivi inataka kuwatoza watu hela wanaotaka kujua habari za UFO's na alien's. uzuri wa mange hana aibu wala unafiki akiamua kulipuka analipuka
 
Hii habari naiona kama imeongezwa chumbi nyingi na mange na ni kumchafua huyo director. Unga hapa dsm ni matajri wawili tuu ndio waliowahi kufika level ya ubilionea Babu chonji na Haji Ally Khatib aka Shkuba wengine wote wanajitafuta bado. Shkuba pesa yake imeshikwa na watu kama kina director, mashow room ya magari, mahardware na wapemba wenzie.
Wauzaji wa bongo wengi wanakuwa watu wa kati kwenye value chain yaani unga unapita tuu hapa unalekea duniani.

Director kama mjasiriamali wa vipodozi mwenye product line yake ya wix cream, lotion etc, makeup accessories ana uhakika wa kupata ukwasi mkubwa tuu. Hakuna biashara inalipa kama ukiwa na product line yako na unapata government incentives kwa nchi kama bongo.

Mange mzushi anaishi kwa kusingizia watu umbeya na kajitengenezea maadui wengi pasipo sababu ya msingi. Kwa hili la director kama ana deal na hiyo biashara basi atakuwa anasafisha pesa za drug barons labda au ameshika pesa kama za kina shkuba na mwenzie omary. Ni rahisi kwa yeye kutumika sababu ana legit business ya vipodozi, amewahi kushika tenda ya kuzoa taka kata ya kunduchi ana magari ya taka.
 
Muongo sana

Alishawahi andika tukio moja

La dada mmoja kukamatwa na kikosi fulani akiwepo na rc Paul,alivyoiandika tofauti na tuliyokuwepo eneo hilo
Mambo mengi anaongeza sifuri

Ova
 

Na hiyo nyumba ilipo duka amepanunua, ni nyumba yake ile. Kwa sasa ana hela chafu, na biashara yake ni unga. Kiujumla tu ni kuwa biashara ya unga imeshamiri sana sana sasa hivi hapa Tanzania. Iwe ni unapita tu au vinginevyo, ni tumerudi kule nyuma. Wauza unga wote waliokuwa wamekimbia nchi, wamerudi na wanafanya mishe zao hapa hapa. Bado hujaja kwa waNigeria nao walivyoshamiri hapa nchini, ndio usiseme. Yani sijui hata tuna utawala wa vipi awamu hii.
 
Haya ndiyo matatizo ya kukosa kazi!.

Unaingia kwa Tapeli,Laghai na Mfitinishi Mange Kimambi unakopi Uongo na Uzandiki na wewe unauleta hapa JF kwa MAGREAT THINKERS.

Tafuta kazi ufanye uache kufuatilia maisha ya watu hayatokusaidia kitu
Kauleta si lazima usome
 

Ebu tuwekee picha yake! wengine hatumjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…