Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Unaweza kumnyima mumeo unyumba hivi hivi ukamuona hajitumi kukupa good life
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kumnyima mumeo unyumba hivi hivi ukamuona hajitumi kukupa good life
Na kawashika kweli,hata mimi aisee siwezi kulipa ili nisome umbea kuhusu life la watu.Asipopost instagram basi .Ila umbea unalipa,na asingekuwa kafungiwa Tanzania, Mange angekuwa billionea.Watanzania wanatumia VPN kumsoma Mange App.Sana kipindi cha shilawadu kiliwaingizia clouds hela ya kutosha,sasa kijiti amekipokea mange, mimi pamoja na kupenda umbea siwezi kulipa pesa ili nipate umbea 😅
yeah ata marekani umbea umewatoa wengi,imagine ata serikali ya marekani sasa hivi inataka kuwatoza watu hela wanaotaka kujua habari za UFO's na alien's. uzuri wa mange hana aibu wala unafiki akiamua kulipuka analipukaNa kawashika kweli,hata mimi aisee siwezi kulipa ili nisome umbea kuhusu life la watu.Asipopost instagram basi .Ila umbea unalipa,na asingekuwa kafungiwa Tanzania, Mange angekuwa billionea.Watanzania wanatumia VPN kumsoma Mange App.
Muongo sanaHii habari naiona kama imeongezwa chumbi nyingi na mange na ni kumchafua huyo director. Unga hapa dsm ni matajri wawili tuu ndio waliowahi kufika level ya ubilionea Babu chonji na Haji Ally Khatib aka Shkuba wengine wote wanajitafuta bado. Shkuba pesa yake imeshikwa na watu kama kina director, mashow room ya magari, mahardware na wapemba wenzie.
Wauzaji wa bongo wengi wanakuwa watu wa kati kwenye value chain yaani unga unapita tuu hapa unalekea duniani.
Director kama mjasiriamali wa vipodozi mwenye product line yake ya wix cream, lotion etc, makeup accessories ana uhakika wa kupata ukwasi mkubwa tuu. Hakuna biashara inalipa kama ukiwa na product line yako na unapata government incentives kwa nchi kama bongo.
Mange mzushi anaishi kwa kusingizia watu umbeya na kajitengenezea maadui wengi pasipo sababu ya msingi. Kwa hili la director kama ana deal na hiyo biashara basi atakuwa anasafisha pesa za drug barons labda au ameshika pesa kama za kina shkuba na mwenzie omary. Ni rahisi kwa yeye kutumika sababu ana legit business ya vipodozi, amewahi kushika tenda ya kuzoa taka kata ya kunduchi ana magari ya taka.
Ni kwel huyo Joan kazaliwa kinondon shamba,biashara ya madawa ni ya kitambo tokea ana bar yake pale TX kinondon mitaa ile ilipokua bar ya G8 ya mama siriwa,pale wauza sembe na matapel lazima uwakute pale, na director mdogo wake alikua anamtuma brazil,pakistan kubeba sembe..mume wake anaitwa magono mtoto wa ilala kota alikua UK miaka mingi akakimbia huko mana nae alikua mpigaji sana haswa wizi wa magar ya kifahari na kuchanja ATM kwakutumia kadi za wizi,kifup dada ana pesa...pale kwa mtogole nyuma kwenye sheli mpya ulitokea mwananyamala ana duka kubwa na sana la nguo
Director ana mtoto na ney wa mitego kuna siku aliweka waraka akimlalamikia kwamba hatoi matunzo ya mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauleta si lazima usomeHaya ndiyo matatizo ya kukosa kazi!.
Unaingia kwa Tapeli,Laghai na Mfitinishi Mange Kimambi unakopi Uongo na Uzandiki na wewe unauleta hapa JF kwa MAGREAT THINKERS.
Tafuta kazi ufanye uache kufuatilia maisha ya watu hayatokusaidia kitu
[emoji23][emoji23]Masikini nimepoteza muda wangu kusoma umbea poor me.
Sasa ni hivi, mnakumbuka kipindi Bashite amewaita wauza unga, kwenye watu maarufu alimuita Director. Sasa ni hivi Director hakusingiziwa na Bashite kama wengi tulivyodhani kipindi kile. Director ni kweli anauza unga. Tena mnaambiwa ni bonge la bosi la unga.
Partner wake mkubwa ni yule Omaryn wa Dubay. Ndo business partner wake wa biashara ya madawa. Mnaambiwa Director ni mmoja kati ya wanawake matajiri waliopitiliza hapa Tanzania. Ni vile tu anajitahidi kuficha utajiri aliokuwa nao.
Yani ni hivi toka atajwe na Bashite kipindi kile Director aliachana kabisa na maisha ya mitandaoni sababu yanamletea attention na ndo moja ya sababu Bashite aliruka nae kipindi kile.
Mnaambiwa Director ugomvi wake mkubwa na watoto wake wale Saraha na seNene ni kuposti good life mitandaoni ila watoto hawasikii wanataka kujionyesha wanazo huku mama yao anawaambia watamletea matatizo.
Sasa ni hivi hii biashara ya cosmetics ndo cover ya Director na ndo biashara anayotumia kutakatisha pesa zake za madawa ya kulevya. Mnaambiwa Director ana pesa balaaa.
Mnaambiwa Director hakosi bilioni 5-10 at any given time. 3 months ago Director kanunua Land Cruiser ya 400 million zero kilometers, akamnunulia na Saraha Range Rover Velarc. Mpaka hapo unaongelea almost 1B in just 3 months ago. Hiyo Land Cruiser anaificha tu haposti ila anayo.
2 years ago Director alinunua zile Mercedes benz za Double cabin for 200 million, akamnunulia Saraha Evoque na seNene akamnunulia Mercedes ya juu, mpaka hapo unaongelea another 500M+. Just 2 years ago.
3 months ago kanunua nyumba kariakoo 1B cash mkononi. Mnaambiwa Director ana properties mpaka basi. Yani inawezekana Director yuko kwenye top 10 ya wanawake matajiri hapo Tanzania ni vile inabidi ajifiche ili asijileteee attention ya serikali. Yani hakuna cha biashara ya cosmetics wala nini. Unga tupuuuuu.
Mnaona matangazo ya maZa anayoposti ya Wix, Director anamlipa maZa 5M every month kwa yale matangazo. Haki vile. Anampa maZa 5M kila mwezi navyowaambia hapa. Yani kwa kifupi Director ndo anaemuweka maZa mjini. Ila nahisi there's something more behind inayofanya Director anamlipa maZa hiyo 5M kila mwezi. There's something here.
Maana ingekuwa ni issue ya kumtangazia tu ni mara 100 angempa Wema ambae ndo alikuza jina na biashara ya Director so hapo kwa maZa kuna jambo kulipana hiyo 5M every month.
Sasa huyo mtoto wake Saraha mnaambiwa anamuhonga huyo baby daddy wake ambae ni mume wa mtu mpaka basi. Nilishawapaga story ya baby daddy wa Saraha. Yani anampaga 20 au 10 au 30 million kama mchezo tu. Anasafiri nae business class. Huyo mtoto alienda Seychelles kakaa "4 Seasons Hotel" more than a week. Hiyo hotel ni more than $1,000 per night. Mtoto anapanda business class kila siku. Yani wana hela mpaka hawawezi kuzihesabuuuzz.
Kweli hapa mjini njoo na akili tu, pesa utazikuta hukuhuku[emoji736]
Kaa utulie na mumeo tayari ushachacha!Kauleta si lazima usome
Binti mmoja mtafutia madanga malaya wenzakeThd imejaa neno "Mnaambiwa..mnaambiwa.."
Je tunaambiwa na nani? Huyo Director ndio nani huko Daslam?