Kaogopa maneno ya walimwengu[emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kashajiapia yule ni marufuku kuzaa na maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa asee! Kuna ishuInaonyesha hamisa baada ya kujua jamaa either bahili akatoa hyo mimba si bure. Ka alizaa na diamond licha ya kuchambwa na kwa mganga akaenda kuloga I think so aisee. Ila mwanamke kukosa akili na msimamo ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sisi wa kwamtogole huku umetuacha kabisaAccording to the codes it is a minister of state who wanted to be appointed a Prime minister for his work but the jiwe refused and threw him to a min ministry. The only one of the origin gang of 3 to survive the purge to date.
Dada wa idris[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kistuli anapigwa sana sema ndo hataki kuwapa wambea cha kusema ila nyuma ya pazia anaishi maisha magumu mnooo. Nilishangaa Kipindi kile insta wanamsifia CEO kwamba hachepuki khaaaa hakuna mwanaume malaya kama huyo amemkula Yule Dada wa Idris mpaka akachoka
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Ila Broh ujue hii kitu inakuwa ngumu kuamini? itabidi tufanye mpango unisimulie vizuri.
Basmati paleeeeee
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kinge baba kingee oooohhUtaelewa kati ya December - Februaru!
Heri haya kuliko hayo!
Inaonyesha hamisa baada ya kujua jamaa either bahili akatoa hyo mimba si bure. Ka alizaa na diamond licha ya kuchambwa na kwa mganga akaenda kuloga I think so aisee. Ila mwanamke kukosa akili na msimamo ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee ndo nini kutegesha tegesha mimba hivoYule kaka wakishuwa ila anaoneka mswahili usikute kamwambia sihitaji mtoto mie
Unakumbuka alivyomuumbua tahiya stop posting our TBT move on nahisi na bibie naye kapewa makavu kwamba sitaki fujo za watoto
Anamaanisha Majizo ( mmiliki wa efm) anamtafuna b12( clouds fm)
Binamu toka nimehama jiji la Makonda nimepunguza umbea..... Eeeeeeeh Kweli nitafute namna nirudi [emoji3]What? Ebu nyoosha umbea binamu
Sent from my iPhone using JamiiForums
wana tamaa sana chuga utajiri lazima hata kwa njia chafu