Mji mzito huu

Mji mzito huu

Inaonyesha hamisa baada ya kujua jamaa either bahili akatoa hyo mimba si bure. Ka alizaa na diamond licha ya kuchambwa na kwa mganga akaenda kuloga I think so aisee. Ila mwanamke kukosa akili na msimamo ni shida
Kaogopa maneno ya walimwengu[emoji16][emoji16][emoji16]

Ila kashajiapia yule ni marufuku kuzaa na maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kistuli anapigwa sana sema ndo hataki kuwapa wambea cha kusema ila nyuma ya pazia anaishi maisha magumu mnooo. Nilishangaa Kipindi kile insta wanamsifia CEO kwamba hachepuki khaaaa hakuna mwanaume malaya kama huyo amemkula Yule Dada wa Idris mpaka akachoka

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Dada wa idris[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pita YouTube umskie CHIDI BENZ, anamzungumzia DUDU na B21!
Ila Broh ujue hii kitu inakuwa ngumu kuamini? itabidi tufanye mpango unisimulie vizuri.
Basmati paleeeeee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inaonyesha hamisa baada ya kujua jamaa either bahili akatoa hyo mimba si bure. Ka alizaa na diamond licha ya kuchambwa na kwa mganga akaenda kuloga I think so aisee. Ila mwanamke kukosa akili na msimamo ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app

Yule kaka wakishuwa ila anaoneka mswahili usikute kamwambia sihitaji mtoto mie
Unakumbuka alivyomuumbua tahiya stop posting our TBT move on nahisi na bibie naye kapewa makavu kwamba sitaki fujo za watoto
 
Kweli aisee ndo nini kutegesha tegesha mimba hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom