cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Inaonyesha hamisa baada ya kujua jamaa either bahili akatoa hyo mimba si bure. Ka alizaa na diamond licha ya kuchambwa na kwa mganga akaenda kuloga I think so aisee. Ila mwanamke kukosa akili na msimamo ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaogopa maneno ya walimwengu[emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kashajiapia yule ni marufuku kuzaa na maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app