Mji mzito huu

Mimi huwa sidanganyi binamu, Nina full data za mastaa, ni muda tu nakosa na wengine ni Ma best zangu , Ila Nina Ma breaking news ya kufa mtu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Warumi umetajwa INSTA kwa CARRYMASTORY.... uko juuu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na video yake mmeiona vzr yani B dozee anamtomasa tomasa majizuuu mgongoni laaanatulaaahh

Warumi nilisema Mimi , nikaonekana mbea na mchonganishi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji119][emoji119][emoji122][emoji122][emoji122]...leo tupe code nyingine basi!

Hivi dada wa I don't care na mnigeria wake vipi? Si kwa mbwembwe zile, nasikia jamaa ni mchele mchele ndo maana dyadya yakamshinda!

Sent using Jamii Forums mobile app

Yule alitembea hadi na msaidiz wa jide anaitwa Wancy , sasa hvi haziivi, Yule mnigeria ukimuangalia tu hamna kitu

Bobrisky kavunja ndoa ya bi dada , mji mzito huu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani Huu uzi, nilichoambualia ni Mr Ayyo tu basi, Alieleta Code nyambafu zake[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Yule alitembea hadi na msaidiz wa jide anaitwa Wancy , sasa hvi haziivi, Yule mnigeria ukimuangalia tu hamna kitu

Bobrisky kavunja ndoa ya bi dada , mji mzito huu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bobrisky halafu ana hela chafu yule transgender....watu walimwambia dada, wapopo sio watu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani Huu uzi, nilichoambualia ni Mr Ayyo tu basi, Alieleta Code nyambafu zake[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
We nawewe hata list ya konk konk konk master hauna?Ukiwa na list hiyo ya konk hizi code utazielewa mkuu japokuwa siyo Rahisi sana jaribu kufuatilia Comments za wachangiaji mbali mbali mkuu.Basi hata code ya B12 na Majizo hujaambulia chochote? Hiyo ya B12 na Majizo picha utazipata IG ya EFM uko au wadau wameweka hadi picha.Nimejaribu kukutafunia mwisho yakanikuta ya Kok.
 
Bobrisky halafu ana hela chafu yule transgender....watu walimwambia dada, wapopo sio watu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa jide atamuwezea wap bobrisky maana Ana pesa hatar anaweza kumlisha yeye mwaka mzima asipige show ahaah , Bi dada awe mpole tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…