Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
19,484
Reaction score
38,416
Ni kweli mji wa Goma umepangwa vizuri japo ni mipangomiji ya zamani lakini huwezi kulinganisha na mingi ya miji yetu.
Upande wake wa Mashariki umeunganika na Gisenyi ambao japo umeunganika na Goma, naiona Gisenyi kuwa mji safi uliopangwa vizuri.

Tanzania Kama kawaida yetu tunajenga vijiji vikubwa tena duni na kuviita majiji.... Zero taaluma ya usanifu majenzi!. Labda Dodoma siku za usoni. 😢
 
Sisi tunakwama CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…