Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

Attachments

  • images(152).jpg
    images(152).jpg
    34.9 KB · Views: 3
  • images(153).jpg
    images(153).jpg
    58.3 KB · Views: 4
  • images(155).jpg
    images(155).jpg
    53.8 KB · Views: 5
  • images(154).jpg
    images(154).jpg
    73.4 KB · Views: 3
Mbona ka picha ni za sehemu ka za Masaki /Oyster-by ..... // Njiro kwa R-town / Tanga (Raskzone ) etc
 
Jaribu ufike Geita, mji halisi wa madini hapa Tanzania, kama iliyo Mwadui tangu zamani, Geita ni kijiji kikubwa cha ujamaa chenye utajiri.
Imekaa poa, unaweza share picha hapa?
 
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC ni kama haina mamlaka huko.

View attachment 3219681View attachment 3219682View attachment 3219683View attachment 3219684


View: https://x.com/AfricaFirsts/status/1885233902480232544?t=eqlRBLcF4Sj7hEKw9qEiXA&s=19

Ni wa kawaida sana sema rangi mpya na mabati mapya yamependezesha mji
 
Chini ya vegetables 🥒 wakati wengine wanastaarabika na kuishi kistaarabu sisi huku tunarudi karne ya 16.

Vegetable wao mipango miji ni kama walishaachana nayo, miji ijijenge na kujipanga yenyewe.

Ni Tanzania tu ndio utakuta barabara zinafagiliwa kama uwanja, mitaro michafu, hakuna mipango miji.

Mfano, nenda Tabata yote kuanzia relini hadi kifuru sijui wapi hakuna open space, hakuna maeneo ya wazi ya umma wala hata maeneo ya watoto kucheza, hakuna. Maeneo yote, ubungo hadi Luguruni, Goba yote, kwa komba hadi Bunju, madale, Buguruni hadi pugu, Mbagala ndio usiseme.

Nenda Dodoma the same, Arusha, Mwanza, Mbeya na kila mahala. Shule za msingi wala sekondari hazina hata viwanja, sasa watoto watacheza wapi na wawe hodari kwenye michezo kama hata maeneo ya kuchezea hakuna halafu unategemea uwe na tibu ya taifa nzuri ya mpira, wachezaji wametoka wapi?

Vegetable ni laana kwenye hili taifa.
 
Muda siyo mrefu mji huo mzuri utawaka moto na kubakia magofu kama ulivyo mji kale wa Kilwa.
 
Back
Top Bottom