Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Hizo picha zimeeditiwa tu,,, huo mji mchafu hakuna mfano uko hovyo hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha imechorwa kwa kutumia akili mnemba.Huo mlima hapo background Nyiragongo ni active volcanic mountain wakati wowote unatema lava na mitetemeko hapo ni kila mara.
View attachment 3219822
Exactly YES. Haiwezekani mji ukawa so compact halafu hakuna muonekano wa uchakavu wa kitu chochote yan mji wote kila kitu ni kipya na ni kisafi hata rangi ya mapaa yote ni mapya. Hakuna muonekana wa barabara na kiumbe chochote hai - hata mbwa au ndege(Kunguru).Hii picha imechorwa kwa kutumia akili mnemba.
Haiwezekani picha mchana kweupe pasionekane binadamu, ndege, wala manyama yeyote kama mbwa wala paka.
Picha hiyo imechorwa kuonyesha kama plani ya mji unaotaka kujengwa kuonyesha uwe mji wenye ujenzi wa aina gani lakini msitudanganye eti hayo ni majengo ya mji halisi.
Sijawahi kuelewa kwa nini Tanzania huwa haiweki kipaumbele upangaji miji!Ni kweli mji wa Goma umepangwa vizuri japo ni mipangomiji ya zamani lakini huwezi kulinganisha na mingi ya miji yetu.
Upande wake wa Mashariki umeunganika na Gisenyi ambao japo umeunganika na Goma, naiona Gisenyi kuwa mji safi uliopangwa vizuri.
Tanzania Kama kawaida yetu tunajenga vijiji vikubwa tena duni na kuviita majiji.... Zero taaluma ya usanifu majenzi!. Labda Dodoma siku za usoni. 😢
Ni aibu tupuSisi miji yenye madini balaa iko duni.
Pakitulia nitaenda kushangaaUnaweza ukazamia ukifikiri ni mamtoni
Leta ya ShinyangaAerial view siku zote ni nzuri.
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC ni kama haina mamlaka huko.
View attachment 3219681View attachment 3219682View attachment 3219683View attachment 3219684
View: https://x.com/AfricaFirsts/status/1885233902480232544?t=eqlRBLcF4Sj7hEKw9qEiXA&s=19
Alaumiwe NyerereChini ya vegetables 🥒 wakati wengine wanastaarabika na kuishi kistaarabu sisi huku tunarudi karne ya 16.
Vegetable wao mipango miji ni kama walishaachana nayo, miji ijijenge na kujipanga yenyewe.
Ni Tanzania tu ndio utakuta barabara zinafagiliwa kama uwanja, mitaro michafu, hakuna mipango miji.
Mfano, nenda Tabata yote kuanzia relini hadi kifuru sijui wapi hakuna open space, hakuna maeneo ya wazi ya umma wala hata maeneo ya watoto kucheza, hakuna. Maeneo yote, ubungo hadi Luguruni, Goba yote, kwa komba hadi Bunju, madale, Buguruni hadi pugu, Mbagala ndio usiseme.
Nenda Dodoma the same, Arusha, Mwanza, Mbeya na kila mahala. Shule za msingi wala sekondari hazina hata viwanja, sasa watoto watacheza wapi na wawe hodari kwenye michezo kama hata maeneo ya kuchezea hakuna halafu unategemea uwe na tibu ya taifa nzuri ya mpira, wachezaji wametoka wapi?
Vegetable ni laana kwenye hili taifa.
Mkuu Nyerere alistaafu miaka 41 iliyopita unataka umlaumu hadi kwenye ujenzi wa miji mipya kama Goba iliyoanza kujengwa miaka 8 iliyopita, Tegeta, Kimara mbezi, Tabata, Gongo la Mboto, Mbagala?Alaumiwe Nyerere
Unatokana na madin ,ona sasa shinyanga ilivyochoka 😁😁😁 ndio tz mjiongeze mijitu inafaidi na familia zaoUnajua uchumi wao unatokana na nini???
Hata mm nashangaa. Hicho alichakufanyia sio sawa. Pole mkuu. Jf haijaruhusu lugha za hivyo lakini basi tuuu.Kisa cha kunitusi ni nini?
Watutsi na warundi wanahamia sana kigoma. Isije mbeleni wakaleta mambo ya kivu ya kutuua. Nasikia ni wakatili sana hao watu.Wao wana Goma, sisi tuna Kigoma.
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC ni kama haina mamlaka huko.
View attachment 3219681View attachment 3219682View attachment 3219683View attachment 3219684
View: https://x.com/AfricaFirsts/status/1885233902480232544?t=eqlRBLcF4Sj7hEKw9qEiXA&s=19
Halafu Nyerere kwa sasa ana umri zaidi ya 26+ yrs tangu afariki 14/10/1999. Sio sahihi kushupalia mapungufu (kama yapo)yaliyofanyika enzi yake. Hayupo na hatoweza kutujibu kulialia kwetu. Je, Kwani mzee Kifimbo aliweka katazo la kufanya marekebisho au alizuia sisi kujipanga upya na kuanzisha yale tunayodhani na tutakayoweza kujivunia ni yetu? Tumwache marehemu apumzike kwa amani (RIP J.K. Nyerere) ss tukomae na hali yetu.Mkuu Nyerere alistaafu miaka 41 iliyopita unataka umlaumu hadi kwenye ujenzi wa miji mipya kama Goba iliyoanza kujengwa miaka 8 iliyopita, Tegeta, Kimara mbezi, Tabata, Gongo la Mboto, Mbagala?
Kumbuka hata enzi za Nyerere CDA ya Dodoma ilisimamia mji vizuri.
Hapa Nyerere utamuonea bure.
Sidhani itakuwa hivyo. Kwa hapa Tz watajifunza Tunu ya Umoja na Amani ndani ya nchi yetu. Ila Tahadhari nayo ni muhimu wasije wakajisahau na kuleta za kuleta.Watutsi na warundi wanahamia sana kigoma. Isije mbeleni wakaleta mambo ya kivu ya kutuua. Nasikia ni wakatili sana hao watu.
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC ni kama haina mamlaka huko.
View attachment 3219681View attachment 3219682View attachment 3219683View attachment 3219684
View: https://x.com/AfricaFirsts/status/1885233902480232544?t=eqlRBLcF4Sj7hEKw9qEiXA&s=19
Acha kabisaa...nilienda kule nikasema hiiiii baghooshaaaKahama vumbi na uchafu ndio sifa yake