Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

Hizo picha za maji wa Goma ulizotuletea hapa zimetengenezwa kwa Msaada wa AI. Acha kudanganya watu kwa kutumia akili mnembo aka akili bandia.
 
Hujui kitu wewe.... Jaribu kufuatilia historia angalau kidogo kuhusu msitu wa congo ujue nani anafaidi na anafaidi nini na nini..... Hapo Bado madini.... TATIZO KUNA MAMBO HUJUI KWA HIYO TAFUTA KWANZA .....
Sawa ila kwani hayo mambo ukiyajua wewe peke yako yanakupa faida gani au ndio hii ya Kunambia mimi sijui kitu😀
Wewe shusha Nondo hapa tuone hivyo vitu Tz hatuna?
 
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC ni kama haina mamlaka huko.

View attachment 3219681View attachment 3219682View attachment 3219683View attachment 3219684


View: https://x.com/AfricaFirsts/status/1885233902480232544?t=eqlRBLcF4Sj7hEKw9qEiXA&s=19

All presidents wanao ingia ikuru upeo wao wa macho na akili huishia dar pekee

Huwa hawafikilii kujenga mikoa.mingine

R.i.p jpm
 
Back
Top Bottom