Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

Jaribu ufike Geita, mji halisi wa madini hapa Tanzania, kama iliyo Mwadui tangu zamani, Geita ni kijiji kikubwa cha ujamaa chenye utajiri na matajiri sampuli ya Msukuma. 😂
Hhhhh
 
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC ni kama haina mamlaka huko.

View attachment 3219681View attachment 3219682View attachment 3219683View attachment 3219684

View: https://x.com/AfricaFirsts/status/1885233902480232544?t=eqlRBLcF4Sj7hEKw9qEiXA&s=19

Mji wa pesa huo, Madini kama yote
 
Leta ya Shinyanga
1738413521725.jpeg
 
niliwahi mwambia jamaa mmoja Manispaa ya KAHAMA na GEITA
ilipaswa iwe walau 70% ya mji wa Goma DRC
tukabishana sanaa,hakunielewa!
 
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC ni kama haina mamlaka huko.

View attachment 3219681View attachment 3219682View attachment 3219683View attachment 3219684

View: https://x.com/AfricaFirsts/status/1885233902480232544?t=eqlRBLcF4Sj7hEKw9qEiXA&s=19

Mji wa Goma unaokaliwa sana na Watutsi wenye Akili kamwe hauwezi kufanana na Miji mingine yenye Majuha kila eneo.
 
Watz muwe mnapenda vitu vyenu bhana. Hv kweli hako kamji ndo unasema Arusha na Mwanza haziingii ndani. Mmeoneshwa picha za maeneo yanayovutia, mbona mji wa kawaida sana asee, hii Goma ni sawa na Geita tu.
Screenshot_20250201-162134~2.jpg
Screenshot_20250201-162026~2.jpg
Screenshot_20250201-162315~2.jpg
 
Usitegemee mji uliopangika na wa maana kwa nchi kama Tanzania ambako wananchi wanauziwa viwanja na kujenga wao.
Miji mingi iliyopangika inajengwa na Serikali au Kampuni binafsi za makazi ambazo zinajenga makazi na kuwauzia watu.
 
Hapo hujaingia Jiji la Mbeya,Jiji lina vibajaji kama siafu nyumba zimebanana kama mbavu za mbwa.
Hizi waliolipa Mbeya Jiji walitumia vigezo gani??
 
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC ni kama haina mamlaka huko.

View attachment 3219681View attachment 3219682View attachment 3219683View attachment 3219684

View: https://x.com/AfricaFirsts/status/1885233902480232544?t=eqlRBLcF4Sj7hEKw9qEiXA&s=19

we hujatembea Tanzania. hata dodoma tu nzuri kuliko hako kamji.
 
Kwani hicho 'nini' Tz hakuna mji wenye nacho?

Here shida is Ponda mali kufa kwaja
Hujui kitu wewe.... Jaribu kufuatilia historia angalau kidogo kuhusu msitu wa congo ujue nani anafaidi na anafaidi nini na nini..... Hapo Bado madini.... TATIZO KUNA MAMBO HUJUI KWA HIYO TAFUTA KWANZA .....
 
Back
Top Bottom