Nimewaza kama weweeAerial view siku zote ni nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewaza kama weweeAerial view siku zote ni nzuri.
Chtu! Naamala; Yashiragha rhurhuu gheete..Acha kabisaa...nilienda kule nikasema hiiiii baghooshaaa
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC ni kama haina mamlaka huko.
View attachment 3219681View attachment 3219682View attachment 3219683View attachment 3219684
View: https://x.com/AfricaFirsts/status/1885233902480232544?t=eqlRBLcF4Sj7hEKw9qEiXA&s=19
Mkuu makosa ya Nyerere, Yan impact kubwa sana kwa nchi ya tz, kuunganisha kila kitu cha. Serikali na CCM, Yan usalama, maendeleo, biashara, elimu, afya,Mkuu Nyerere alistaafu miaka 41 iliyopita unataka umlaumu hadi kwenye ujenzi wa miji mipya kama Goba iliyoanza kujengwa miaka 8 iliyopita, Tegeta, Kimara mbezi, Tabata, Gongo la Mboto, Mbagala?
Kumbuka hata enzi za Nyerere CDA ya Dodoma ilisimamia mji vizuri.
Hapa Nyerere utamuonea bure.
NaheneeChtu! Naamala; Yashiragha rhurhuu gheete..
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC ni kama haina mamlaka huko.
View attachment 3219681View attachment 3219682View attachment 3219683View attachment 3219684
View: https://x.com/AfricaFirsts/status/1885233902480232544?t=eqlRBLcF4Sj7hEKw9qEiXA&s=19
Mwisho wa reli 🤣🤣Wao wana Goma, sisi tuna Kigoma.
Mwanza na Arusha hizo takataka zinaweza lingana na Goma? Mbona unazingua?Kwahiyo hapo ni pazuri kuliko kuliko mwanza na Arusha au mnashida gan nyie watanzania?
Uko sahihi,Goma ni nzuri ila siwezi ishi hapo Kwa sababu ya huo mlima mara kadhaa umeripuka na kujaza Wingu la jibu mjini so ni eneo hatarishi.Huo mlima hapo background Nyiragongo ni active volcanic mountain wakati wowote unatema lava na mitetemeko hapo ni kila mara.
View attachment 3219822
Kwani hicho 'nini' Tz hakuna mji wenye nacho?Unajua uchumi wao unatokana na nini???
Hapa Tanzania ni kama tuna laana sijui yule Mwalimu alifeli wapi.Chini ya vegetables 🥒 wakati wengine wanastaarabika na kuishi kistaarabu sisi huku tunarudi karne ya 16.
Vegetable wao mipango miji ni kama walishaachana nayo, miji ijijenge na kujipanga yenyewe.
Ni Tanzania tu ndio utakuta barabara zinafagiliwa kama uwanja, mitaro michafu, hakuna mipango miji.
Mfano, nenda Tabata yote kuanzia relini hadi kifuru sijui wapi hakuna open space, hakuna maeneo ya wazi ya umma wala hata maeneo ya watoto kucheza, hakuna. Maeneo yote, ubungo hadi Luguruni, Goba yote, kwa komba hadi Bunju, madale, Buguruni hadi pugu, Mbagala ndio usiseme.
Nenda Dodoma the same, Arusha, Mwanza, Mbeya na kila mahala. Shule za msingi wala sekondari hazina hata viwanja, sasa watoto watacheza wapi na wawe hodari kwenye michezo kama hata maeneo ya kuchezea hakuna halafu unategemea uwe na tibu ya taifa nzuri ya mpira, wachezaji wametoka wapi?
Vegetable ni laana kwenye hili taifa.
Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini?
Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC ni kama haina mamlaka huko.
View attachment 3219681View attachment 3219682View attachment 3219683View attachment 3219684
View: https://x.com/AfricaFirsts/status/1885233902480232544?t=eqlRBLcF4Sj7hEKw9qEiXA&s=19
Muungano ndio umekuondolea wewe akili? Wacha visingizio vya kipuuziKitu kinachowakwamisha Watanmzania ni huu uvamizi uitwao Muungano. Hili ni chaka la wahuni wanaojitajirisha binafsi na kuliangamiza Taifa chini ya genge lao wanaloliita CCM
Muungano ndio umekuondolea wewe akili? Wacha visingizio vya kipuuzi
🚮🚮Asali imekupa akili ,unafurahia matunda ya uvamizi
Barabara za mitaani zina lami kama yoteeHiki ni nini? 👇👇
View attachment 3221149