Mji wa Goma (mashariki mwa DRC) watanda giza

But Why!!???
Good question.

Ni wakubwa wa Dunia kukidhi mahitaji yao zaidi kuliko weye wenye mali, na wana kila kitu teknolojia, vifaa na ujuzi.

Sie waafrika bado hatujafikia huko na ujuzi pia ni mdogo sasa.

Mwisho ni vita yao wakubwa kila mmoja kuhodho rasilimali popote pae zilipo duniani ndo twasema Hegemony.

Wakubwa wa Dunia China, Marekani, Russia, India, Japan, France, UK, Canada, Australia, Germany na wengine.

Juzi kikao cha World Economic Forum imekaa kwa siku nne 20-24 january na ajenda zake kuu:

1. Changamoto za dunia.
2. Mtikisiko wa kijiografia wa kidunia
3. Ukuaji wa uchumi au growth
4. Kubadilisha nishati au matumizi ya nishati.

Dhima yake ni ushirikishwaji wa maarifa au Collaboration of intelligent Age.

Hayo ndo wakubwa wameishakaa wamepanga yafanyike kwa mwaka wa 2025.
 
"Let us agreed that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
You are trying to use stereotype to justify your KKK affiliation and sympathy.

Africans can rule themselves when given opportunity, Burkina Faso is example now as the country run by young African man.

I have recently been in Senegal they have electric trains and well managed bus transport systems which are the same as the European one and alike.

So, don't pity yourself while standing and looking at your broken mirror.
 
Ina sikitisha sana hii vita ukiwa sikia wananchi wanavyo lia juu ya usalama wao, kwakweli vita hii yenye maslahi na wakubwa flani inawatesa sana watu wasio kuwa na hatia wala nguvu.
 
Mungu saidia Congo
 
Jeshi la Tanzania lipo huko tayari kuwalinda Raia na Mji wa Goma usianguke mikononi mwa hao vibaraka wa Wazungu.

Wananchi wa DRC Wana Imani na JWTZ πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/Fs7jEBnCRJU?feature=shared
 
Matatizo ya DRC yanasababishwa na Rwanda kinachoshangaza Viongozi wa Afrika wapo kimya huku raia wakipata tabu kwa sababu ya mali zilizopo kwenye Nchi yao inasikitisha sana..
 
Tangu nijue DRC iko kimkakati na UN inaratibu. Sina cha kusema.
Poor Africa inaangamia kwa kukosa viongozi waadilifu. Shame on us
Ilitakiwa kufukuza majeshi ya UN yote harafu AU ndio walete Jeshi kuwaska hao vibaraka kina M23 na pia ufanyike Mpango kumuondoa madarakani Kagame hata Kwa kumuua.

Maana ameshawashika Hadi Mozambique Kwa Sasa.
 
Ilitakiwa kufukuza majeshi ya UN yote harafu AU ndio walete Jeshi kuwaska hao vibaraka kina M23 na pia ufanyike Mpango kumuondoa madarakani Kagame hata Kwa kumuua.

Maana ameshawashika Hadi Mozambique Kwa Sasa.
Afrika haijitambui even AU bajeti yake iko sponsored, they are toothless dogs.na watumishi wa wa white people
 
Wamarekani ni Wapumbavu sana...
America wako na Kagame..
Wao ndo wanawawezesha hao M23..
Ni ujinga viongozi Wa Africa kukubali huu uhayawani...
We undhani hao viongozi waafrika,walafi wa madaraka na wafisadi walio kwenye payroll ya mabeberu watafanyeje.?
 
Congo ilikuwa chini ya himaya ya mfalme Leopold wa pili wa Ubelgiji, hivyo isingeachiwa tu kienyeji.
Kweli Congo imeshindikana kabisa kwa serikali yao kuondoa huo uasi?

Nafikiri tatizo la Congo ni serikali yao na wa Congo wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…