MJI WA MAKAMBAKO NDO CENTRE YA KANDA MPYA YA UWEKEZAJI YA NYASA INAYO JUMUISHA MIKOA YA IRINGA ,NJOMBE NA RUVUMA

MJI WA MAKAMBAKO NDO CENTRE YA KANDA MPYA YA UWEKEZAJI YA NYASA INAYO JUMUISHA MIKOA YA IRINGA ,NJOMBE NA RUVUMA

Boymk

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
469
Reaction score
106
Kanda ya nyanda za juu kusini ni kubwa sana kieneo inajumuisha mikoa ya Mbeya ,iringa, njombe, ruvuma ,songwe , rukwa na katavi kijiografia hii Kanda ingegawanywa mara mbili kutokana na umbali wa mikoa mingine kuifikia Mbeya ambapo ndo makao makuu ya hii Kanda wanaweza wakamega Kanda Kama walivo fanya MSD na TIC Kanda ya nyasa ikajitegemea kwa huduma zote za kikanda Kama zilivyo Kanda zingine mfano huduma za hospitali ya Kanda, mahakama ,BOT, uwanja wa ndege, na ofisi zingine zinazo HUDUMIA kikanda na wakaweka makao makuu makambako mkoani njombe ambapo ndo centre ya hii Kanda na ni eneo ambalo Lina huduma zote muhimu za usafirishaji ,umeme, nfra, pia hata jumuiya ya wafanya biashara imefanya hivo na ni eneo litakalo shamiri UWEKEZAJI wa viwanda kutokana rasilimali zinazo lizunguka na plan ya mkoa wa njombe pia kutoka makambako paka madaba ruvuma ni km 139 na hadi songea ni 294 na iringa mjini ni km 164 nyanda za juu ikaendelea kuhudumia mikoa ya Mbeya ,songwe na rukwa
FB_IMG_17429553741739260.jpg
IMG-20250326-WA0028.jpg
FB_IMG_17429553040778599.jpg
IMG-20250326-WA0028.jpg
IMG-20250326-WA0028.jpg
IMG-20250326-WA0028.jpg
IMG-20250326-WA0028.jpg
FB_IMG_17427843913178651.jpg
FB_IMG_17435654583101710.jpg
FB_IMG_17435654357780268.jpg
FB_IMG_17435657067932028.jpg
FB_IMG_17435655762593305.jpg
FB_IMG_17435671713703705.jpg
FB_IMG_17435656554722442.jpg
FB_IMG_17432543474228653.jpg
FB_IMG_17429779668858065.jpg
FB_IMG_17427831580001902.jpg
FB_IMG_17427831757582868.jpg
FB_IMG_17435670165007390.jpg
FB_IMG_17435671517755235.jpg
fb_img_17435671310413283-jpg.3290848
FB_IMG_17435670560509791.jpg
FB_IMG_17435669836920378.jpg
FB_IMG_17435671443332391.jpg
FB_IMG_17435670006381883.jpg
FB_IMG_17435670479904529.jpg
FB_IMG_17435671310413283.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_17435656746252201.jpg
    FB_IMG_17435656746252201.jpg
    195.5 KB · Views: 31
Sawa, nitakaribia siku moja niuone ufahari wa mji wa Makambako♥️♥️♥️.

Mada nzuri sana hii.
 
Ila fanyeni juu chini kurekebisha hali ya hewa hapo siyo rafiki kabisa pandeni miti kwa wingi kupunguza upepo mkali msimu wa kiangazi
 
Kanda ya nyanda za juu kusini ni kubwa sana kieneo inajumuisha mikoa ya Mbeya ,iringa, njombe, ruvuma ,songwe , rukwa na katavi kijiografia hii Kanda ingegawanywa mara mbili kutokana na umbali wa mikoa mingine kuifikia Mbeya ambapo ndo makao makuu ya hii Kanda wanaweza wakamega Kanda Kama walivo fanya MSD na TIC Kanda ya nyasa ikajitegemea kwa huduma zote za kikanda Kama zilivyo Kanda zingine na wakaweka makao makuu makambako mkoani njombe ambapo ndo centre ya hii Kanda na ni eneo ambalo Lina huduma zote muhimu za usafirishaji ,umeme, nfra, pia hata jumuiya ya wafanya biashara imefanya hivo na ni eneo litakalo shamiri UWEKEZAJI wa viwanda kutokana rasilimali zinazo lizunguka na plan ya mkoa wa njombe pia kutoka makambako paka madaba ruvuma ni km 139 na hadi songea ni 294 na iringa mjini ni km 164 nyanda za juu ikaendelea kuhudumia mikoa ya Mbeya ,songwe na rukwa
Sijaelewa mtoa tangazo ni mlalamikaji au ni TIC
 
Ila fanyeni juu chini kurekebisha hali ya hewa hapo siyo rafiki kabisa pandeni miti kwa wingi kupunguza upepo mkali msimu wa kiangazi
Hata hivyo kutokana na kasi ya ujenzi wa makazi upepo umepungua kwa asilimia kubwa pia vumbi limepungua kutokana eneo kubwa la mji kwa hivi Sasa zimewekwa lami za kutosha na zinaendelea na watu wamepanda sana miti ya kiuchumi hususa ni parachichi
FB_IMG_17435670273371855.jpg
FB_IMG_17435670705428994.jpg
 
Vipi kuhusu mipango miji maana kuna mitaa kama KItisi, Mjimwema, na kwingineko nakumbuka ilikuwa huwezi ingia na gari
 
Vipi kuhusu mipango miji maana kuna mitaa kama KItisi, Mjimwema, na kwingineko nakumbuka ilikuwa huwezi ingia na gari
Walisha bomoa chocho zote lilisha pita zoez la urasimishaji walifungua barabara tayar na zingine tayar zimeshawekwa lami
FB_IMG_17435670663772532.jpg
 
Back
Top Bottom