Mji wa Nakonde ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia wapata maambukizi ya COVID 19 ya kufuru! Ndani ya saa 24 watu 202 waambukizwa

Nadhani Tz wakiamuwa kupima kila raia corona, nnawakika tunaweza kuipiku USA yenye waathirika wengi....kweli kweli ugonjwa umeenea nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuliwaambia corona haitaki maigizo.sasa hapo imeenda kwa hewa maana mipaka wamefungwa!!!


hakika ukiwa mnafiki jiandae kuumbuka,
 
Mbona Data za uhongo

Muwe na uzalendo na muache UNAFIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazambia afya mgogoro. Tunduma wamepimwa watu karibia wote hakuna mwenye corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…