infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,096
- 2,150
Ni kweli,kazi yetu ni kuusema ukweli.
Wewe umezidi kulamba makalio ya jamaa yako.
Nenda zako kachukue huku saba pale kwa Mazezeta wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli,kazi yetu ni kuusema ukweli.
Utaquotiwa vizuri, labda usicomment, jibu swali lakeUsini quote tafadhali.usiniharibie siku
Nadhani Tz wakiamuwa kupima kila raia corona, nnawakika tunaweza kuipiku USA yenye waathirika wengi....kweli kweli ugonjwa umeenea nchiniMji wa Nakonde unaopakana na Tunduma iliyo Tanzania unapata maambukizi mapya ya COVID 19 ndani ya saa 24 zilizopita kuliko mji mkuu wa Lusaka kwa mujibu wa wizara ya afya ya Zambia.
Wakati haya yakiendelea kwa upande wa Tanzania tunaarifiwa kuwa waziri wa afya yupo katika hatua za mwisho kuondoka wizarani hapo baada ya kutokuridhishwa na mwenendo mzima wa serikali kukabili suala la COVID 19
View attachment 1448228
Waziri ummy kuepusha lawama angebwga manyanga tu, hali ilivyo sio kabisa kama mipakani kupo hivyo je ndani kupo vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
hawezi jibu.akijujibu naacha kuwatafuna.
Kabla ya corona watu ilikiwa hawafi kwa magonjwa mbalimbali hapa Tanzania. Za kuambiwa changanya na zakoWaziri ummy ajiuzulu kwa sababu watu wanakufa hovyo kwa uzembe wa rais magufuli ? Siyo Tanzania hiyoo
Kenya
kuna ugonjwa mpya wa kutoa takwim za uongohawezi jibu.akijujibu naacha kuwatafuna.
wazushi sana hawa vitumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina kawaida ya kujibu upuuzi.
Ukweli usemwe, huyu mtoto wa watu, kaimudu haswaa, wizara ya Afya, Hongera yake Sana aiseeUmmy Ally Mwalimu siyo Doctor. Ni mwanasheria mwenye LLB ya UDSM na Masters ya Sheria ya Pretoria.
Huyo ni wa kumu ignore tu hakuna namna bonyeza kitufe nimemu ignore leo yani ni kama mtoto mdogo yupo standby kuvamia kila postUsini quote tafadhali.usiniharibie siku
Mbona Data za uhongoMji wa Nakonde unaopakana na Tunduma iliyo Tanzania unapata maambukizi mapya ya COVID 19 ndani ya saa 24 zilizopita kuliko mji mkuu wa Lusaka kwa mujibu wa wizara ya afya ya Zambia.
Wakati haya yakiendelea kwa upande wa Tanzania tunaarifiwa kuwa waziri wa afya yupo katika hatua za mwisho kuondoka wizarani hapo baada ya kutokuridhishwa na mwenendo mzima wa serikali kukabili suala la COVID 19
View attachment 1448228
kama una pressure ya kushuka usiingie humu utafariki,tuseme ni corona blaza.Sina kawaida ya kujibu upuuzi.
Mtaa wa lumumba kuna ile maiti iliokotwa hukuiona ukiwa unaenda ofisini?Km hali ya corona ni mbaya km mnavyobwata mtandaoni tungeona mtaani
Mtaa wa lumumba kuna ile maiti iliokotwa hukuiona ukiwa unaenda ofisini?
Ndani ni kuficha takwimu![emoji2211][emoji2211][emoji2211]Waziri ummy kuepusha lawama angebwga manyanga tu, hali ilivyo sio kabisa kama mipakani kupo hivyo je ndani kupo vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mnaishia KUPAYUKA tu, pasiko kujenga hoja ya nini kifanyike wakati huu? Inasikitisha sana kuwa na raia wa mfano wako.