Mji wa Nakonde ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia wapata maambukizi ya COVID 19 ya kufuru! Ndani ya saa 24 watu 202 waambukizwa

Mji wa Nakonde unaopakana na Tunduma iliyo Tanzania unapata maambukizi mapya ya COVID 19 ndani ya saa 24 zilizopita kuliko mji mkuu wa Lusaka kwa mujibu wa wizara ya afya ya Zambia.

Wakati haya yakiendelea kwa upande wa Tanzania tunaarifiwa kuwa waziri wa afya yupo katika hatua za mwisho kuondoka wizarani hapo baada ya kutokuridhishwa na mwenendo mzima wa serikali kukabili suala la COVID 19

View attachment 1448228
Nadhani Tz wakiamuwa kupima kila raia corona, nnawakika tunaweza kuipiku USA yenye waathirika wengi....kweli kweli ugonjwa umeenea nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuliwaambia corona haitaki maigizo.sasa hapo imeenda kwa hewa maana mipaka wamefungwa!!!

hakika ukiwa mnafiki jiandae kuumbuka,
 
Mji wa Nakonde unaopakana na Tunduma iliyo Tanzania unapata maambukizi mapya ya COVID 19 ndani ya saa 24 zilizopita kuliko mji mkuu wa Lusaka kwa mujibu wa wizara ya afya ya Zambia.

Wakati haya yakiendelea kwa upande wa Tanzania tunaarifiwa kuwa waziri wa afya yupo katika hatua za mwisho kuondoka wizarani hapo baada ya kutokuridhishwa na mwenendo mzima wa serikali kukabili suala la COVID 19

View attachment 1448228
Mbona Data za uhongo

Muwe na uzalendo na muache UNAFIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazambia afya mgogoro. Tunduma wamepimwa watu karibia wote hakuna mwenye corona
 
Back
Top Bottom