Mji wenye baridi kali sana duniani

Mji wenye baridi kali sana duniani

Unaijua -71°C or unaandika kwa ushabiki?
Hiyo temperature even body enzymes wana kuwa deactivated so NO life at all.

Fanyia marekebisho andiko lako.
Siandiki kishabiki, nimeitoa mahala wanasema hali ya hewa huko ilishawahi kurekodiwa kuwa na halijoto ya -71°C
 
Siandiki kishabiki, nimeitoa mahala wanasema hali ya hewa huko ilishawahi kurekodiwa kuwa na halijoto ya -71°C
Sawa. Means hiyo ni maximum temperature kwa wakati fulani hapo sikatai Ila sio kila wakati.

Hiyo temperature ni balaa mkuu even kupiga mbupu Inaweza shindikana.
 
Sawa. Means hiyo ni maximum temperature kwa wakati fulani hapo sikatai Ila sio kila wakati.

Hiyo temperature ni balaa mkuu even kupiga mbupu Inaweza shindikana.
Ndo wenzetu wanaishi huko, wengine mpaka vidole vimeanza kuoza kisa kuganda kwa barafu!
 
Hakika, lazima uwe na sehemu ya kujifungia ndani ya jengo uwe salama na yenye joto joto fulani, bila hivyo hali ni mbaya
Bora hilo baridi lilikuwa kwa wazungu wenye akili ingekuwa huku Tanzania kusingekuwa na watu kabisa, kila watu waliumbiwa mazingira flani kulingana na uwezo wao kutatua changamoto
 
Ila wale pombe kali kwa sana. Af sifahamu ninini kinawafanya kundelea kuwa huko while miji mingine Ipo.
Wanasema kuna vitu vinawafanya wasurvive kwenye hali ya hewa ya namna hiyo kuanzia mavazi, majengo, vyakula na lifestyle za namna ya kukabiliana na hali ya hewa ya namna ile
 
Back
Top Bottom