Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
- Thread starter
- #41
Hahaha! kila la kheri lolote lawezekana!K-vant ni soft drink huko. Wish to be there one day.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! kila la kheri lolote lawezekana!K-vant ni soft drink huko. Wish to be there one day.
Inshallah ndugu katika Imani.Hahaha! kila la kheri lolote lawezekana!
Hamna tabu ndugu yangu!Inshallah ndugu katika Imani.
Leo ngoja nije na mada ya aina yake, kuna huu mji unaitwa YAKUTSK / YAKUTIA, huu mji unapatikana Siberia nchini Russia/Urusi ya Mheshimiwa Vladmir Putin.
Maajabu ya huu mji kwa upande wa hali ya hewa baridi yake inacheza kwenye -71°C, -96°F na wakati mwingine unapungua kidogo ila baridi yake bado ni kali kwa kiasi chake. Ukirusha maji ya moto hewani sekunde kadhaa yale maji yanaganda haraka sana na kuwa kama barafu au snow fulani hivi, mito karibu sehemu zote maji yake yameganda yamekuwa barafu, magari hayazimwi kuyafanya engine isigande, asilimia kubwa ya wenye magari huwa wanajaza mafuta full tank ya kuwasaidia kuzifanya engine za magari yao iendelee kuunguruma kuzuia barafu ndani ya engine.
Wakaazi wake wakiwa nje kwa maana ya nje ya majengo lazima waufanye miili yao ijishughulishe kuupata joto mwili, ukitulia tu waweza pata madhara kiafya na wakati mwingine unaweza kusababisha hata kifo, wengi wao huvaa makoti hadi matano na suruali mbili au tatu mazito mazito, soksi matatu au manne viatu vizito vyenge ngozi isiyoweza kupitisha baridi, ajabu sana. Kila mahali barafu tupu, mitaani, mimea barafu, waya umeshika barafu, ukitoa ndizi na kuuacha nje kwa dakika mbili tayari umekuwa barafu na unaweza kuutumia kama nyundo kabisa kuupigilia msumari, nyama yoyote iwe mbichi au uliopikwa ukiuacha nje kwa dakika kadhaa barafu tupu.
Sokoni buchani nyama zinauzwa nje kabisa na kila aina ya nyama kuanzia nyama ya ng'ombe sijui samaki na kadhalika huuzwa nje na nyama karibu zote zimeganda, wauzaji wanasema kipindi hiki cha baridi kali haijawahi kutoka nyama kuoza na unaweza kuuza kwa muda mrefu na hupati hasara ya bidhaa zako sokoni.
Hii dunia kuna mambo mengi sana ya kustaajabisha, tuendelee kujifunza maajabu ya NATURE duniani!
Umeharibu kwa kutaka iwe ya kuchekesha na kuweka uongo wa kitoto. Ungeandika facts tu ingependeza hayo mataka taka na uongo kwa sisi wenye akili huwa hatupendelei kabisa.
Ni Leleå au ni Luleå?Unaitaja Leleå bila jirani yake Boden na Kiruna?? Kiruna ni hatari zaidi ujue 🥶🥶
kwamba huoni nilichokataa au jeuri tu [emoji3]Unabisha nn
Kuna watu wanaishi hapo, vizuri tu, sema msosi wanasema uliwe haraka sana kabla haijawa ya baridi mahala ambapo baridi inapenyahawana haja ya mochwari hawa
Ukienda kwenye joto vidonda kama vyote mdomoniKuna watu wanaishi hapo, vizuri tu, sema msosi wanasema uliwe haraka sana kabla haijawa ya baridi mahala ambapo baridi inapenya
[emoji23]Huko ukiwa homeless hutoboi aisee
Ndio maana wazungu walikuja afrika kutafuta ahueni yakazalisha utumwa ulioleta ukoloni mpaka keshoNdo wenzetu wanaishi huko, wengine mpaka vidole vimeanza kuoza kisa kuganda kwa barafu!