Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
- Thread starter
-
- #21
Kwa waliowahi kufika wanasema baridi ya pale Siberia ni kali na ni ya muda mrefuLulea Sweden vipi? Iko pale juu kabisa kwenye arctic circle, chini yake ndiyo kuna ant-arctic iliyofunikwa na barafu tupu
Hakika, lazima uwe na sehemu ya kujifungia ndani ya jengo uwe salama na yenye joto joto fulani, bila hivyo hali ni mbayaHuko ukiwa homeless hutoboi aisee
Siyo mbaya kushare nilichojifunza, elimu haina mwisho wanasema!Umecheki clip Fulani ivi hata mie nimeiona.pia hongera kutuletea huku mkuu.ina Kama dakika 30 ivi nadhani.
Unashare na wenzako poa Sana.
Siku tukataliipo
Siandiki kishabiki, nimeitoa mahala wanasema hali ya hewa huko ilishawahi kurekodiwa kuwa na halijoto ya -71°CUnaijua -71°C or unaandika kwa ushabiki?
Hiyo temperature even body enzymes wana kuwa deactivated so NO life at all.
Fanyia marekebisho andiko lako.
Sawa. Means hiyo ni maximum temperature kwa wakati fulani hapo sikatai Ila sio kila wakati.Siandiki kishabiki, nimeitoa mahala wanasema hali ya hewa huko ilishawahi kurekodiwa kuwa na halijoto ya -71°C
Unakufilia mbali ndani masaa 24 tu, unaganda na kufunikwa na barafu.Huko ukiwa homeless hutoboi aisee
Siku zote huwa nawaza kama ulivyowaza mkuu.Kama ni hivi !!. Basi Mungu aliipendelea sana Africa . Tuna hali ya hewa isiyo na mashaka. Huo mji bila umeme na uchumi mzuri unakufa hakika. Ni mji wa kwenda una la kufanya huko
Unaitaja Leleå bila jirani yake Boden na Kiruna?? Kiruna ni hatari zaidi ujue 🥶🥶Lulea Sweden vipi? Iko pale juu kabisa kwenye arctic circle, chini yake ndiyo kuna ant-arctic iliyofunikwa na barafu tupu
Kabisa. Pale kwenye nyuzijoto -76 kaongopa sana. Uzuri wa siku hizi huwezi kudanganya na ukabaki salama, vyanzo vya taarifa viko vingi sana. Nami ningeshangaa sana, wanadamu kuishi kwenye nyuzijoto -76Mkuu mbona umeongeza chumvi sanaView attachment 1879420
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ndo wenzetu wanaishi huko, wengine mpaka vidole vimeanza kuoza kisa kuganda kwa barafu!Sawa. Means hiyo ni maximum temperature kwa wakati fulani hapo sikatai Ila sio kila wakati.
Hiyo temperature ni balaa mkuu even kupiga mbupu Inaweza shindikana.
Ni bara pekee halipatagi majanga ya ajabu ajabu ya hali ya hewa ya kila mara kama mabara mengine!Siku zote huwa nawaza kama ulivyowaza mkuu.
Hali ya hewa ya bara hili habadiriki sana, haisumbui sana.
Ila wale pombe kali kwa sana. Af sifahamu ninini kinawafanya kundelea kuwa huko while miji mingine Ipo.Ndo wenzetu wanaishi huko, wengine mpaka vidole vimeanza kuoza kisa kuganda kwa barafu!
Bora hilo baridi lilikuwa kwa wazungu wenye akili ingekuwa huku Tanzania kusingekuwa na watu kabisa, kila watu waliumbiwa mazingira flani kulingana na uwezo wao kutatua changamotoHakika, lazima uwe na sehemu ya kujifungia ndani ya jengo uwe salama na yenye joto joto fulani, bila hivyo hali ni mbaya
Hata nusu saa hutoboiUnakufilia mbali ndani masaa 24 tu, unaganda na kufunikwa na barafu.
Wanasema kuna vitu vinawafanya wasurvive kwenye hali ya hewa ya namna hiyo kuanzia mavazi, majengo, vyakula na lifestyle za namna ya kukabiliana na hali ya hewa ya namna ileIla wale pombe kali kwa sana. Af sifahamu ninini kinawafanya kundelea kuwa huko while miji mingine Ipo.
Mateso tupu.Wanasema kuna vitu vinawafanya wasurvive kwenye hali ya hewa ya namna hiyo kuanzia mavazi, majengo, vyakula na lifestyle za namna ya kukabiliana na hali ya hewa ya namna ile
Hakika, kila mahali kuna mateso yake ndani yake!!Mateso tupu.
K-vant ni soft drink huko. Wish to be there one day.Hakika, kila mahali kuna mateso yake ndani yake!!