Mji wenye baridi kali sana duniani

Wadau wanasema Mungu hawezi kuruhusu changamoto usioweza kukabiliana nayo ikupate.

Huku kwetu Afrika tungekuwa na changamoto kama hii tungeisha.

Njombe watu wamekufa kwa kukosa hewa safi(oxygen) baada ya kujifungia ndani na jiko la mkaa ili wapate joto.
 
Umeharibu kwa kutaka iwe ya kuchekesha na kuweka uongo wa kitoto. Ungeandika facts tu ingependeza hayo mataka taka na uongo kwa sisi wenye akili huwa hatupendelei kabisa.




 
Ndo wenzetu wanaishi huko, wengine mpaka vidole vimeanza kuoza kisa kuganda kwa barafu!
Ndio maana wazungu walikuja afrika kutafuta ahueni yakazalisha utumwa ulioleta ukoloni mpaka kesho

Maana ardhi kama hiyo kuna rasilimali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…