Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

Usijali
 
Hio kawaida kijana ukifika umr flan mwnaume gia huchange wew ndio utakuwa waletewa kila kitu mezan wew jjenge vzur kiafya wanaume n wachache asee wew watongoza wasichana ndio mana ukifika umr ukawa mbaba bas wanawake huwa wanpapalikia san so jiweke fresh utatongozwa usjal au hutatumia nguvu san mana maish yao n kama maziwa yetu n kama whine the more we stay the more we become Sweet (attractive) wao n kama maziwa hu decrease mje mnikosea English sasa madafakaz nyie
 
Shule zinafunguliwa lini?
 
Hahaha sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…