Alanusjosephat53
Senior Member
- Dec 29, 2021
- 166
- 220
400-132=? Kumbe Baltazari bado anavunja rekodi🤣🙌Sema madem 132 ni wachache sana kwa mtu kuitwa womanizer wa dunia
View attachment 3192271
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
400-132=? Kumbe Baltazari bado anavunja rekodi🤣🙌Sema madem 132 ni wachache sana kwa mtu kuitwa womanizer wa dunia
View attachment 3192271
Kabsa yani wao na Wambulu ni mule mule 100%✓wameru waraisi sana dogo wala usishangae
Harmonize hajamuona huyo!?
Hiyo heading imekaa kiupinde upinde sanaHeri ya mwaka wanajf
Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa
Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida yeyote kabisa yaani huyu jamaa ni kwa vile tu ni mtu wa Mungu na maombi kwa sana ila kama sio hivyo ungekuta amezini na wanawake wengi sana
Mjomba wangu huyu kaanza hii kazi kitambo sana kama miaka 15 nyuma huko ya tax driver lakini idadi ya wanawake wanaomtongoza ni hatari inaweza fika 200+ hadi wanafunzi 🤣 kwa miaka yote hiyo ya kazi na ushahidi ninao maana nimewahi kuonyeshwa kwenye simu yake na yeye mwenyewe kabisa ni hatari wakuu
Juzi kati kuna mmama mtu mzima tu wa 45+ kafunguka kwake tena ni pisi kali balaa mmama wa moto matako yako ya haja, sura ipo, yaani kaumbika wakuu
Sasa mimi nikionaga vile mi huwa inaniuma kichizi huyu jamaa hatumii nguvu yeyote ile hata hela hana za kutisha lakini wanawake wanampapatikia sana
Mimi huku hadi nipate mwanamke ni msala hapo nimesota balaa hata kwa hawa wabovu huwa inakuwaga ni kazi kwelikweli lakini yeye walaa simpo tu
Wakuu nipeni mbinu ya kuondoa huu wivu maana unanitesa balaa sijawahi kupata pisi kali hata wa kusingiziwa maisha yangu yote na uzee unaanza kubisha hodi
Kabla sijasahau ana muonekano wa kawaida tu kama wangu kwaiyo msije kusema ni handsome hamna haipo hivyo kabisa
Inauma 😔😔😔😔
Sio kweli kwa uzuri wa Tanzania yetu na ukarimu na humanity pamoja na kujaliwa warembo wa kila aina hapa unatudanganya labda uwe mchafu mchafu hygiene zero hujitambui uko uko tu, na kiasi fulani una changamoto ya afya ya akili hapo nakupa pole 😀Ni ishu kwangu ambae sijawahi kuwa na pisi kali mkuu
Unajua uchungu wa kuwa na madem wabovu tu. pisi kali unabaki kuzitamani tu na kuziona kwa mbali ni shida ila natumaini huu upepo mbaya utaondoka soon 😢
Mkatae Mbowe na genge lake looooteHeri ya mwaka wanajf
Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa
Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida yeyote kabisa yaani huyu jamaa ni kwa vile tu ni mtu wa Mungu na maombi kwa sana ila kama sio hivyo ungekuta amezini na wanawake wengi sana
Mjomba wangu huyu kaanza hii kazi kitambo sana kama miaka 15 nyuma huko ya tax driver lakini idadi ya wanawake wanaomtongoza ni hatari inaweza fika 200+ hadi wanafunzi 🤣 kwa miaka yote hiyo ya kazi na ushahidi ninao maana nimewahi kuonyeshwa kwenye simu yake na yeye mwenyewe kabisa ni hatari wakuu
Juzi kati kuna mmama mtu mzima tu wa 45+ kafunguka kwake tena ni pisi kali balaa mmama wa moto matako yako ya haja, sura ipo, yaani kaumbika wakuu
Sasa mimi nikionaga vile mi huwa inaniuma kichizi huyu jamaa hatumii nguvu yeyote ile hata hela hana za kutisha lakini wanawake wanampapatikia sana
Mimi huku hadi nipate mwanamke ni msala hapo nimesota balaa hata kwa hawa wabovu huwa inakuwaga ni kazi kwelikweli lakini yeye walaa simpo tu
Wakuu nipeni mbinu ya kuondoa huu wivu maana unanitesa balaa sijawahi kupata pisi kali hata wa kusingiziwa maisha yangu yote na uzee unaanza kubisha hodi
Kabla sijasahau ana muonekano wa kawaida tu kama wangu kwaiyo msije kusema ni handsome hamna haipo hivyo kabisa
Inauma 😔😔😔😔
Ila sio pisi kaliWatu wanazeeka na Uzuri na Quality zao mzee
UNAENDA KUOLEWA MUDA SI MREFU. TRUST ME. HAUTAMALIZA MUDA MREFU WATAKUOA WANAUME MABAZAZI.Heri ya mwaka wanajf
Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa
Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida yeyote kabisa yaani huyu jamaa ni kwa vile tu ni mtu wa Mungu na maombi kwa sana ila kama sio hivyo ungekuta amezini na wanawake wengi sana
Mjomba wangu huyu kaanza hii kazi kitambo sana kama miaka 15 nyuma huko ya tax driver lakini idadi ya wanawake wanaomtongoza ni hatari inaweza fika 200+ hadi wanafunzi 🤣 kwa miaka yote hiyo ya kazi na ushahidi ninao maana nimewahi kuonyeshwa kwenye simu yake na yeye mwenyewe kabisa ni hatari wakuu
Juzi kati kuna mmama mtu mzima tu wa 45+ kafunguka kwake tena ni pisi kali balaa mmama wa moto matako yako ya haja, sura ipo, yaani kaumbika wakuu
Sasa mimi nikionaga vile mi huwa inaniuma kichizi huyu jamaa hatumii nguvu yeyote ile hata hela hana za kutisha lakini wanawake wanampapatikia sana
Mimi huku hadi nipate mwanamke ni msala hapo nimesota balaa hata kwa hawa wabovu huwa inakuwaga ni kazi kwelikweli lakini yeye walaa simpo tu
Wakuu nipeni mbinu ya kuondoa huu wivu maana unanitesa balaa sijawahi kupata pisi kali hata wa kusingiziwa maisha yangu yote na uzee unaanza kubisha hodi
Kabla sijasahau ana muonekano wa kawaida tu kama wangu kwaiyo msije kusema ni handsome hamna haipo hivyo kabisa
Inauma 😔😔😔😔
unachokitamani kina gharama kubwa(muda,nguvu, kiakili,kifedha,malengo ,kukueka mbali na sura ya mungu,afya yako kiujumla) je yote ya nini ?Vyote mkuu
Na wewe kamtongoze😬😬😬😬😬Heri ya mwaka wanajf
Kwa wakazi wa Arusha tunajua vilivyo huu mji ulivyobarikiwa na pisi kali za kila aina hadi sio poa
Sasa tuingie kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nina mjomba wangu mmoja yuko kwenye 50's+ lakini kwenye maisha yake wanawake hawajawahi kumpa shida yeyote kabisa yaani huyu jamaa ni kwa vile tu ni mtu wa Mungu na maombi kwa sana ila kama sio hivyo ungekuta amezini na wanawake wengi sana
Mjomba wangu huyu kaanza hii kazi kitambo sana kama miaka 15 nyuma huko ya tax driver lakini idadi ya wanawake wanaomtongoza ni hatari inaweza fika 200+ hadi wanafunzi 🤣 kwa miaka yote hiyo ya kazi na ushahidi ninao maana nimewahi kuonyeshwa kwenye simu yake na yeye mwenyewe kabisa ni hatari wakuu
Juzi kati kuna mmama mtu mzima tu wa 45+ kafunguka kwake tena ni pisi kali balaa mmama wa moto matako yako ya haja, sura ipo, yaani kaumbika wakuu
Sasa mimi nikionaga vile mi huwa inaniuma kichizi huyu jamaa hatumii nguvu yeyote ile hata hela hana za kutisha lakini wanawake wanampapatikia sana
Mimi huku hadi nipate mwanamke ni msala hapo nimesota balaa hata kwa hawa wabovu huwa inakuwaga ni kazi kwelikweli lakini yeye walaa simpo tu
Wakuu nipeni mbinu ya kuondoa huu wivu maana unanitesa balaa sijawahi kupata pisi kali hata wa kusingiziwa maisha yangu yote na uzee unaanza kubisha hodi
Kabla sijasahau ana muonekano wa kawaida tu kama wangu kwaiyo msije kusema ni handsome hamna haipo hivyo kabisa
Inauma 😔😔😔😔
Shauri yakeMkuu unapenda kutongozwa eeh?
Sikumaanisha kukutukana.Acha matusi mkuu
Sasa si ungemuuliza huyo Mjomba yakoHeri ya mwaka wanajf