Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

Hiyo heading imekaa kiupinde upinde sana
 
Ni ishu kwangu ambae sijawahi kuwa na pisi kali mkuu

Unajua uchungu wa kuwa na madem wabovu tu. pisi kali unabaki kuzitamani tu na kuziona kwa mbali ni shida ila natumaini huu upepo mbaya utaondoka soon 😒
Sio kweli kwa uzuri wa Tanzania yetu na ukarimu na humanity pamoja na kujaliwa warembo wa kila aina hapa unatudanganya labda uwe mchafu mchafu hygiene zero hujitambui uko uko tu, na kiasi fulani una changamoto ya afya ya akili hapo nakupa pole πŸ˜€
 
Mkatae Mbowe na genge lake loooote
 
UNAENDA KUOLEWA MUDA SI MREFU. TRUST ME. HAUTAMALIZA MUDA MREFU WATAKUOA WANAUME MABAZAZI.
 
Na wewe kamtongoze😬😬😬😬😬
 
Shetani hana shida na wewe mkuu, wew tayari uko kwenye mfumo wake, Ana shida na mjomba wako ambaye ni Mtu wa Mungu anataka amvute kwake kwa njia ya uzinifu ndio maana anamletea mademu weng wazuri.
Ushauri wangu tu we mdanganye shetani ujidai uko upande wa Mungu uwone jinsi gani shetani atakavyo kuletea mademu wengi ili akurudishe tena kwenye ufalme wake.
 
Sasa si ungemuuliza huyo Mjomba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…