Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

Giacomo Cassanova

famous womanizer from the 18th century

jina lake ndo sasa linatumika kumaanisha mwanaume playboy

Sema madem 132 ni wachache sana kwa mtu kuitwa womanizer wa dunia
Screenshot_20250104-184752.png
 
Back
Top Bottom