Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ni maajabu ya buibui huyu anayefahamika kama Brazilian Wandering Spider au Banana Spider ambaye ana sumu kali inayosababisha maumivu makali, ikiwemo kichwa kuuma nk ameonekana kuwa neema kwa wanaume wenye matatizo ya dhakari kusimama.
Mwanaume akiumwa na buibui huyo huweza kusimamisha uume kwa muda wa Zaidi ya saa kutokana na namna sumu yake inavyosambaa mwilini. Wanasayansi wamethibitisha kwamba sumu ya buibui huyo inafanya kazi sawa na Viagra.
Banana Spider wanapatikana kwa wingi huko Brazil, Uruguay, Paraguay na Argentina.