Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Dah!... Noma Sana...😂😂😂Bakhresa atuchanganyie kwenye juice zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!... Noma Sana...😂😂😂Bakhresa atuchanganyie kwenye juice zake.
Hawajadanganyika mkuu. Ni kweli ukingatwa na buibui huyo utapata madhara na mojawapo kati ya madhara ni hilo la Hours-long and painful Erection. Sasa watahamua wao wenyewe kama wanataka (na haikopeshi) au vinginevyo. 🙁Mmedanganyika kirahisi sana, haya nendeni huko migombani mkawakamate hao Buibui 😄
Kwa hiyo huwa anan'gata kwa makusudi au kwa self defense?Hawajadanganyika mkuu. Ni kweli ukingatwa na buibui huyo utapata madhara na mojawapo kati ya madhara ni hilo la Hours-long and painful Erection. Sasa watahamua wao wenyewe kama wanataka (na haikopeshi) au vinginevyo. 🙁
Mkuu pamoja na maelezo mazuri labda umesahau kuwa kumbusha wadau kuwa hiyo erection ni painful na na baada ya masaa manne ya hiyo erection kinafuata kifo!Ni maajabu ya buibui huyu anayefahamika kama Brazilian Wandering Spider au Banana Spider ambaye ana sumu kali inayosababisha maumivu makali, ikiwemo kichwa kuuma nk ameonekana kuwa neema kwa wanaume wenye matatizo ya dhakari kusimama.
Mwanaume akiumwa na buibui huyo huweza kusimamisha uume kwa muda wa Zaidi ya saa kutokana na namna sumu yake inavyosambaa mwilini. Wanasayansi wamethibitisha kwamba sumu ya buibui huyo inafanya kazi sawa na Viagra.
Banana Spider wanapatikana kwa wingi huko Brazil, Uruguay, Paraguay na Argentina.
Aisee....Mkuu pamoja na maelezo mazuri labda umesahau kuwa kumbusha wadau kuwa hiyo erection ni painful na na baada ya masaa manne ya hiyo erection kinafuata kifo!
Waambie haoBalance diet na mazoezi
Hela na akili
Hapa mawazo kwanza unakuwa hauna afu akili imetulia mkuu achana na wadudu kula vizuri kuwa na hela na fanya mazoezi
Angalizo usishindane na kitu kinachotanuka
Mapenzi ni ufundi sio in and out
Nazungumzia masaji,french kiss, utani kidogo( mahaba fulani hivi) afu muweke ile staili akili na moyo unapenda then relax.
Self defense au kwa bahati mbaya kwa mtu anayefanya kazi eneo alipo huyo buibui e.g. Shambani, Porini, kusafisha eneo la makazi(uwanja) n.k. Huyu hatengenezi ule utando tunaoufahamu wa buibui.Kwa hiyo huwa anan'gata kwa makusudi au kwa self defense?
Na Dakau hadi Mango wapo tele.Wapo wengi sana kwetu kibosho umbwe.
Kesi za vifo vilivyerokodiwa ni vichache, mwaka 2019 kulikuwa na watu 70,000 walioumwa lakini waliokufa walikuwa 10 tuMkuu pamoja na maelezo mazuri labda umesahau kuwa kumbusha wadau kuwa hiyo erection ni painful na na baada ya masaa manne ya hiyo erection kinafuata kifo!
Hata hapa Tz. wanapatikana kwa wingi tu maeneo yanayolima zao la migomba/Ndizi e.g. Mbeya, Kilimanjaro, Arusha, Kagera n.k. Wapo wa aina 9 (Tisa) lakini wote reaction ni hiyo ya Kupata priapismNi maajabu ya buibui huyu anayefahamika kama Brazilian Wandering Spider au Banana Spider ambaye ana sumu kali inayosababisha maumivu makali, ikiwemo kichwa kuuma nk ameonekana kuwa neema kwa wanaume wenye matatizo ya dhakari kusimama.
Mwanaume akiumwa na buibui huyo huweza kusimamisha uume kwa muda wa Zaidi ya saa kutokana na namna sumu yake inavyosambaa mwilini. Wanasayansi wamethibitisha kwamba sumu ya buibui huyo inafanya kazi sawa na Viagra.
Banana Spider wanapatikana kwa wingi huko Brazil, Uruguay, Paraguay na Argentina.
Wewe aliwahi kukun'gata?Self defense au kwa bahati mbaya kwa mtu anayefanya kazi eneo alipo huyo buibui e.g. Shambani, Porini, kusafisha eneo la makazi(uwanja) n.k. Huyu hatengenezi ule utando tunaoufahamu wa buibui.
Duu umenikumbusha mbali sana ndugu yangu,nimesoma Umbwe Secondary A level,kwa Raphael ndio ilikuwa Stand yetu.Wapo wengi sana kwetu kibosho umbwe.
HAHAHA... Kwetu ni palepale pembeni ya shule tu sema mimi nilisoma lyamungo. Ajabu nilikuwa mzalendo kwa lyamungo japo umbwe ni nyumbani. Ilikuwa likitokea tifu nakuwa upande wa lyamungo.Duu umenikumbusha mbali sana ndugu yangu,nimesoma Umbwe Secondary A level,kwa Raphael ndio ilikuwa Stand yetu.