Mjue 'Banana Spider' ambaye akikuuma unasimamisha kwa muda wa zaidi ya saa

Sasa hizi "nyuume" za watu zinaenda kupasuka mishipa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni maajabu ya buibui huyu anayefahamika kama Brazilian Wandering Spider au Banana Spider ambaye ana sumu kali inayosababisha maumivu makali, ikiwemo kichwa kuuma nk ameonekana kuwa neema kwa wanaume wenye matatizo ya dhakari kusimama.

Mwanaume akiumwa na buibui huyo huweza kusimamisha uume kwa muda wa Zaidi ya saa kutokana na namna sumu yake inavyosambaa mwilini. Wanasayansi wamethibitisha kwamba sumu ya buibui huyo inafanya kazi sawa na Viagra.

Banana Spider wanapatikana kwa wingi huko Brazil, Uruguay, Paraguay na Argentina.

Biashara nzuri hii.
 
Kwa mujibu wa maelezo ya kahaba mmoja basi buibui huyu anamfaa spika mstaafu ndu-shoga
 
T

Ww ulivyo na mume unadhani kila mtu ni KE kama ww?
Mm ni ME namiliki dushe lenye mamilioni ya mbegu bora.
Jiangalie aisee!

Mkuu nisamehe sana aisee hii avatar yako imenipoteza sikukusudia
Screenshot_2022-06-01-22-11-45-832_com.mi.globalbrowser.jpg
 
Back
Top Bottom