Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Yani ukitaka kumnywesha hata sumu mbongo mwambie ishu za nguvu za kiume tu.Kuna vifo vinaenda kutokea kimasihara!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji3062][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna vifo vinaenda kutokea kimasihara!
Atawapata wapi? au afuge iwe biashara 😂 😂Bakhresa atuchanganyie kwenye juice zake.
Duh!...Mwanaume akiumwa na buibui huyo huweza kusimamisha uume kwa muda wa Zaidi ya saa kutokana na namna sumu yake inavyosambaa mwilini. Wanasayansi wamethibitisha kwamba sumu ya buibui huyo inafanya kazi sawa na Viagra.