Mjue 'Banana Spider' ambaye akikuuma unasimamisha kwa muda wa zaidi ya saa

Vp akimng'ata mwanamke? Nini kiyatokea au kumpata mwanamke?
 
Mmedanganyika kirahisi sana, haya nendeni huko migombani mkawakamate hao Buibui πŸ˜„
 
Sasa huyo wangempa ile chanjo ya covid ndani ya Mwezi mmoja Wanaume wote watakuwa Wamechanjwa, kazi itabaki kwa Jinsia Ke.
 
Mmedanganyika kirahisi sana, haya nendeni huko migombani mkawakamate hao Buibui πŸ˜„
Hawajadanganyika mkuu. Ni kweli ukingatwa na buibui huyo utapata madhara na mojawapo kati ya madhara ni hilo la Hours-long and painful Erection. Sasa watahamua wao wenyewe kama wanataka (na haikopeshi) au vinginevyo. πŸ™
 
SI MDA mrefu hao buibui watapanda Bei kwenye soko la dunia
 
Hawajadanganyika mkuu. Ni kweli ukingatwa na buibui huyo utapata madhara na mojawapo kati ya madhara ni hilo la Hours-long and painful Erection. Sasa watahamua wao wenyewe kama wanataka (na haikopeshi) au vinginevyo. πŸ™
Kwa hiyo huwa anan'gata kwa makusudi au kwa self defense?
 
Mkuu pamoja na maelezo mazuri labda umesahau kuwa kumbusha wadau kuwa hiyo erection ni painful na na baada ya masaa manne ya hiyo erection kinafuata kifo!
 
Waambie hao
 
Mkuu pamoja na maelezo mazuri labda umesahau kuwa kumbusha wadau kuwa hiyo erection ni painful na na baada ya masaa manne ya hiyo erection kinafuata kifo!
Kesi za vifo vilivyerokodiwa ni vichache, mwaka 2019 kulikuwa na watu 70,000 walioumwa lakini waliokufa walikuwa 10 tu
 
Hata hapa Tz. wanapatikana kwa wingi tu maeneo yanayolima zao la migomba/Ndizi e.g. Mbeya, Kilimanjaro, Arusha, Kagera n.k. Wapo wa aina 9 (Tisa) lakini wote reaction ni hiyo ya Kupata priapism
Tahadhari: Priapism(Kusimama uume kwa isivyokawaida na kwa muda mrefu) ni maumivu na unaweza kuhitaji matibabu. So vijana/wanaume wapenda game take care.
Ni mara chache sana kifo kutokea ila cha moto utakiona - suruale au Bukta au Boxer haienei. πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wanaumeeeeee.....Ila taabu yote hii inaletwa na wadada.Ndio,niwadada!
 
Self defense au kwa bahati mbaya kwa mtu anayefanya kazi eneo alipo huyo buibui e.g. Shambani, Porini, kusafisha eneo la makazi(uwanja) n.k. Huyu hatengenezi ule utando tunaoufahamu wa buibui.
Wewe aliwahi kukun'gata?
 
Duu umenikumbusha mbali sana ndugu yangu,nimesoma Umbwe Secondary A level,kwa Raphael ndio ilikuwa Stand yetu.
HAHAHA... Kwetu ni palepale pembeni ya shule tu sema mimi nilisoma lyamungo. Ajabu nilikuwa mzalendo kwa lyamungo japo umbwe ni nyumbani. Ilikuwa likitokea tifu nakuwa upande wa lyamungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…