Mjue Benson Kigaila - kijana mtiifu wa Mbowe


..Mbona Mwalimu Nyerere alisema Ccm kuna rushwa na hakuna aliyemfukuza uanachama?

..suala la Augustino Mrema ni tofauti na kilichotokea kati ya Lissu na Chadema.

..Baraza la Mawaziri walikaa kikao wakakubaliana kuwa na msimamo mmoja Bungeni.

..Walipofika ktk kikao Mrema akawageuka wenzake, kitu ambacho moja kwa moja kinakutemesha nafasi yako ya Uwaziri.
 
Ameshasema yeye sio muumini wa ukomo wa uongozi ikiwezekana hata Rais wa nchi asiwekewe ukomo wa uongozi kama ilivyo ndani ya chama chake CHADEMA.
"Ukomo wa uongozi" ni kwenye tumbo lake tu basi!

Nitashangaa kama hajawahi kutembelewa na Bw. Abdul huyu.
 
Nitumie hiyo nukuu ya mwl akisema "ccm kuna nuka rushwa"
Ninacho kumbuka, mwl alisema, "uchaguzi wa mwaka hu utakua na rushwa" na pia alikua akiituhumu serikali kwa rushwa na kutoa solutions plus historia ya enzi zake as well. Yeye hakua kiongozi wa serikali, hilo lina ubaya gani? Huwezi kua timamu kichwani ukatuhumu taasisi ambayo wewe mwenyewe ni kiongozi kaka, hilo nalo hadi tuanze kubishana? Bado siamini kama Lissu anafanya hivo akiwa hajui anacho kifanya, anayo agenda, tuendelee tu kusubiri, muda ni mwalimu mzuri
 
Chadema wanaonaga watanzani kuwa Pimbi ,embu fikiria huyu jamaa alisema hajui kama mke wake yuko bungeni πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Aiseeeeeee!
 

..Mwalimu Nyerere aliandika mpaka kijitabu chenye title " tujisahihishe " maana yake alikuwa anasema Ccm na serikali wamekosea.

..Kukubali kwamba ktk Taasisi kuna makosa ni uuungwana, na hatua nzuri ya kuelekea kujirekebisha.
 
Atakuwa anashikishwa ukuta na Mbowe huyu, si bure.
 
Reactions: EEX
Aiseeeeeee! hawa jamaa. 20yrs ya utawala. Na bado wanataka kuendelea. Wake zao ubunge viti maalumu bila ukomo. Jamani!


..hao ni cha mtoto.

..Ccm ndio wamezidisha.

..mtoto wa Mama Samia ni mbunge.

..mkwe wa Mama Samia ni Waziri, tena anayesimamia uchaguzi.

..mwanae Mstaafu Kikwete ni Naibu Waziri.

...mke wa mstaafu Kikwete ni mbunge.

..familia ya Mzee Mwinyi ndio usiseme. Kuna Raisi wa Zanzibar, na wabunge wasiopungua watatu.
 
Duuuuuuhh!
 
So?
 
Bado Mbunge wa Arumeru Mashariki na Wakwe zake wabunge wawili..mmoja Bunge la Muungano, mwingine la Africa Mashariki
 
Nilimsikiliza kwenye medani za siasa star tv itoshe kusema huyu jamaa ni MWEUPE PEE kichwani
 
..Boni Yai aliwahi kumpiga kabari Meya wa Ccm mpaka akajinyea ndio akamuachia!!🀣

..hatari sana yule sijui timu Lissu watakabiliana naye vipi.
Hiyo niliisikiaga,meya alijichafua,aisee bonge anaonekana ana kabali kali sana.
No wonder amewahi kua bodyguard.
 

Attachments

  • 20241212_173431.jpg
    55.7 KB · Views: 3
Jilaumuni kuzaliwa kwenye familia zisizo na koneksheni 😁😁😁

..Ccm ni genge la kugawana vyeo, na kutumbua rasilimali za nchi.

..Raisi / Mwenyekiti wa Ccm ana maelfu ya nafasi anazoteua watu mbalimbali.

..Mazingira hayo ndio yanawalazimisha wamfanye Mwenyekiti wa Ccm kuwa " mungu mtu " anayelindwa kwa gharama ya damu ya wanaharakati na wapinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…