Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 892
- 654
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimekua nikimfatilia sana huyu kijana na inspiration stories zake za kuhamasisha vijana kuacha kuajiriwa na kujiajiri wenyewe kama alivyofanya yeye kuacha kazi Heinken.....na miminikaacha kazi bwana ..Joto nalokula huku mtaani ni mm mwenyewe najua.
Cha kushangaza aliyekua anatushauri naona kaajiriwa E-FM .....KWELI NIMEAMINI MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI
sasa inakuaje mtu anakuwa na HIV mwilini hata miaka 10 bila ya kuumwa au deception alitudanganya? au tuseme hivi mtu akiambukizwa leo anaitaji kutumia arv lini?CD4 ni kama JWTZ mwilini, virusi ili viishi kwenye mwili vinajichanganya na CD4 cells na kuwanza kuviua na kutoa copy zenye virusi. Ukinwywa ARV zinaua virusi wanaotembea kwenye damu na ku inhibit virusi visizaliane. Virusi vikizibitiwa Jeshi la CD4 linaingezeka. Fikiria nchi bila jeshi la ulinzi kila adui atatushambulia ni kama mwili bila CD4.
alijitoa muhanga au aliogopa kunenepa baada ya kujinadi amepunguza mwiliWenzake wanajiandilisha maili moja hukoo
Siku zote haujamuuliza unakuja kumuuliza leo kalala?sio vizuriKwa nini alijiita bikira wa kisukuma wakati yeye ni kidume?
Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Hao unakuta CD4 zao kabla maambukizi zilikuwa vizuri sana na katika hiyo miaka kumi zinapungua taratibu, wengine wanakuwa na bahati tu lakini wengine wanapata magonjwa nyemelezi kama TB na pneumonia ambavyo vinapelekea kubainika HIVsasa inakuaje mtu anakuwa na HIV mwilini hata miaka 10 bila ya kuumwa au deception alitudanganya? au tuseme hivi mtu akiambukizwa leo anaitaji kutumia arv lini?
kuna watu wanachukulia hata mpakani huko
Ndiyo maana inashauriwa kufanya mazoezi lakini ARV za sikuhizi hazinenepeshi.alijitoa muhanga au aliogopa kunenepa baada ya kujinadi amepunguza mwili
Huna loloteLe Mutuz a.k.a The Big Boss in Town huwa nakukubali sana Jombaaaaa hasa unavyoyajib maswali kwenye interview ambazo huwa unashiriki.Ni-pm nikupe wazo
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Hamna ukimwi.stori tu.Upo na ni hatari sana
Nimefatilia maswali yako naona hauna AMANI.sasa inakuaje mtu anakuwa na HIV mwilini hata miaka 10 bila ya kuumwa au deception alitudanganya? au tuseme hivi mtu akiambukizwa leo anaitaji kutumia arv lini?
Mmh haya mkuuHamna ukimwi.stori tu.
wanasema cd4 ilishuka sana alikuwa hana namna
Si angetafta daktar awe anamletea? Mbona wapo wanaotibiwa majumbani? Hatari!woga na ustaa mpenzi akienda kuchukua watamuona .. ule msemo mficha maradhi kifo umuumbua ndiyo hivyo tena ila alale kwa amani tu
Sijui kwa kweliKama ndo hivyo huyu kiumbe atakua kaacha kilio kikubwa huku duniani. Kuna binti alikua anaishi nae kinyumba namfahamu ila walikuja kuachana. Sijui kama kasalimika binti wa watu [emoji31][emoji30]
Tumia condom mkuu![emoji125] [emoji125]kumbe HIV hatare namna hiyo loh@deception sijui yupo wapi
Pesa hakunaSi angetafta daktar awe anamletea? Mbona wapo wanaotibiwa majumbani? Hatari!
Arage Jekundu.
Alikua na mdudu...???[emoji15] [emoji87]wanasema cd4 ilishuka sana alikuwa hana namna